KWa WANAMAPINDUZI DR. ULIMBOKA NI NURU MPYA YA UKOMBOZI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KWa WANAMAPINDUZI DR. ULIMBOKA NI NURU MPYA YA UKOMBOZI

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dr Klinton, Jun 29, 2012.

 1. Dr Klinton

  Dr Klinton Senior Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Roho YANIUMA NINAPOKUMBUKA PALE MADR WALIPOMUOMBA DR ULIMBOKA KUONGOZA VUGUVUGU LA MABADILIKO AMBAYO BAADHI YETU TUNATAMANI KUYAONA.
  ALISEMA
  ''JAMANI KWELI MNANICHAGUA MIMI KUONGOZA HAYA MAPAMBANO, MKO TAYARI ? KAMA KWELI MKO TAYARI BASI NAMI NIPO TAYARI ILA KAMA MNA MASHAKA NI VYEMA MKASEMA SASA KWANI HILI NI JUKUMU ZITO NA NAJUA LITAHATARISHA MAISHA YANGU PIA ''

  DR ULIMBOKA NI MZALENDO
  ANAYEIPENDA NCHI YAKE
  JASIRI ASIYEOGOPA WAKOLONI WALIOKO
  MADARAKANI NA MBINU ZAO ZA KIHUNI, KIJAMBAZI,KIBEDUI, KIFEDHULI......
  SERIKALI ISIYOJALI USTAWI WA MAISHA YA MTANZANIA BALI MATUMBO YAO.

  DR ULIMBOKA KIONGOZI BORA AMBAYE HAJAWAHI KUSEMA KWA NIABA YA MADAKTARI BILA KUWAULIZA MADAKTARI ASEME NINI

  SAUTI YAKE NI SAUTI HALISI YA MADAKTARI WENZAKE

  NA SASA MAUMIVU YAKE NI MAUMIVU YA MADAKTARI WENZAKE

  DR ULIMBOKA ANAONGOZA NJIA MPYA ZA MAPAMBANO DHIDI YA SERIKALI DHALIMU AMBAZO NI ZA LAZIMA KWA WAKATI HUU TULIIOFIKIA

  MBINU HII NI WANANCHI WAO WENYEWE KUONGOZA MAPAMBANO BILA KUTUMIA ITIKADI ZA KISIASA AMBAZO ZINATUMIKA HADI SASA NA MAKUNDI MENGI LAKINI TATIZO LAKE WATU WACHACHE WANAONGEA KWA NIABA YA WATU WENGI KWA KUFUATA ITIKADI ZA KISIASA
  AMBAZO BAADA YA MUDA HUPOTEZA DIRA/MUELEKEO KWANI WANASIASA HUBADILIKA

  SERIKALI NA MABAVU YAO HADI LEO WAMESHINDWA KUWAAMINISHA WANANCHI KUWA MADAKTARI WANATUMIWA NA WANASIASA KWANI HAKUNA HATA CHEMBE YA UKWELI KTK HIVYO HOJA KUKOSA NGUVU KABISA

  KWA WASIO ELEWA DHANA KUBWA YA MGOMO WA MADAKTARI

  HII NI DEMOSTRATION YA WASOMI WENYE UELEDI NA UJASIRI DHIDI YA WAJINGA WAPUUZI NA MAJAMBAZI AMBAYO YAMEGEUZA NCHI KAMA KICHAKA CHA UJAMBAZI, UFISADI, MADAWA YA KULEVYA NA MENGINEYO MENGI MABAYA DUNIANI AMBAYO YAMEFIKIA HATUA YA KUTOJALI KABISA UTU WA MWANADAMU

  ANGALIA SEKTA MUHIMU YA ELIMU
  ANGALIA SEKTA YA AFYA

  HIZI SEKTA MUHIMU SANA KATIKA USTAWI WA JAMII YEYOTE ILE DUNIANI

  KWA WANAMAPINDUZI SIKILIZA HUU WIMBO
  Freedom is coming tommorow

  m.youtube.com/watch?desktop_uri=%2Fwatch%3Fv%3DF_MNNzqQnkg%26feature%3Dshare&feature=share&v=F_MNNzqQnkg&gl=US
  TUWE TAYARI
   
 2. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  DR ULIMBOKA ANAONGOZA NJIA MPYA ZA MAPAMBANO DHIDI YA SERIKALI DHALIMU AMBAZO NI ZA LAZIMA KWA WAKATI HUU TULIIOFIKIA

  Umesema vyema............
   
Loading...