Hivi angetekwa Aisha Kikwete polisi wengekuwa wanasuasua au kutuletea wahusika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi angetekwa Aisha Kikwete polisi wengekuwa wanasuasua au kutuletea wahusika?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpayukaji, Jun 29, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nimejikuta nikijiuliza swali hilo hapo juu. Nisaidieni hali ingekuwaje kama kweli Dk Aisha Kikwete angetekwa na kufanyiwa unyama aliofanyiwa Steven Ulimboka? Hii maana yake ni kwamba Tanzania ina wenyewe na wenyewe ni? Jaza mwenyewe.
   
 2. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  CCM ni kama kupe:
  Ng'ombe anachinjwa kupe hana habari!!!
  Ng'ombe anachunwa kupe hana habari!!!!
  Ngozi inawambwa kupe hana habari!!!!
  Ngozi ikianza kukauka kupe ndo anastuka!!!!"

  Alaa! Huyu ngo'mbe kumbe keshachinjwa!!!
   
 3. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hon Honolulu,
  Hii mpya umenifumbua macho kama siyo kunifungua masikio. Sijui kama itakuwa hivyo kwa CCM.
   
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,312
  Likes Received: 5,600
  Trophy Points: 280
  .....Ataamrisha majeshi yote hadi mgambo na zimamoto waanze msako wa nyumba hadi nyumba tanzania nzima kumtafuta:ila kwa mtoto wa mwenzake,damu yake halali yao"liwalo na liwe"mateso yake yaatakuwa kikwazo katika utawala wenu siku zote hadi mtakapotoka madarakani!doa jeusi sana hilo!kumbe mlihonga mapesa yote yale,kununua kila gazeti na wahariri ili mje mtese raia wema kiasi kile?kwani mlifuatwa majumbani mwenu kuomba kuongoza nchi?mlichokimbilia ikulu mmekiona sasa?
   
 5. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Hiyo mkuu haiwezekani kabisa, kwa sababu mke wake, yaani mama Aisha huwa kila mara anaropoka kuwa "mwana wa mwenzako ni wako". inawezekana mtu mzima, muungwana, Ist Woman na my husband wake wafanye hivyo kweli?
   
Loading...