Urafiki wa mashaka Pinda, Kikwete na Ulimboka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Urafiki wa mashaka Pinda, Kikwete na Ulimboka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpayukaji, Jun 29, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  [h=3][/h]

  [​IMG]
  [​IMG]

  Wanasiasa wetu hawana tofauti na matapeli wengine wa kawaida. Ukiwaona hapa waziri mkuu Mizengo Pinda na Dk Steven Ulimboka utadhani kicheko cha Pinda hakifichi chuki na kiasasi cha ajabu. Kwa wanaokumbuka maneno ya Pinda, ni kwamba kama binadamu wangejua kutabiri wanachofikiria wenzao, Dk Ulimboka asingefikwa na yaliyomfika. Pinda alikaririwa siku za hivi karibuni akisema kuwa lolote laweza kumtokea Ulimboka. Je alijuaje kama siyo tamko na mkono wa serikali? Ama kweli sasa Tanzania inatawaliwa na serikali ya kihuni. Bila watawala wetu kuja na melezo ya kutosha hawataeleweka. Kikwete liko wapi tamko lako?
   
 2. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Pinda alisema wapi lolote laweza kumtokea Ulimboka?
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Pinda amekamilisha msemo wake!

  Ila mbinu zao,hila mbaya ya roho ya kishwetani hakika MUNGU mwenye uweza zaidi ya hata ya fikira ya jk & pinda wake hakika ameonekana.

  Ilikuwa upepo na ngoja upepo wa kimbunga ije, Na kama haijaenda na mtu (watu) hakika sijazaliwa na mwanamke!

  Hatuwezi kuwa na uongozi dhaifu namna hii na ni watu tuliowaamini na sasa wamekuwa mzigo kwa Taifa!

  Haliwezekani! Kwnn mtu asijiuzulu??
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ridhia Sweety! Rudia kwa makini kusoma uzi ulioangusha then urudi tena!

  Wengine tumechoka na serikali yako dhaifu!
  Kuwa mvumilivu pale penye agenda! Siyo unatoa mapofu tu utafikiri unaugua kifafa!
   
 5. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Hivi serikali haijui kuwa hawa jamaa , wangesepa nchi, wengine wakauze madawa na kufungua hospital bubu, wengine wakalime kwa miezi 2 au .watakaolazimishwa watoe huduma nyingine ya kuwawahisha kwenye heri familia za wakubwa wote.Sidhani kama wakubwa wanaweza peleka ndugu wote india?Sasa wana lazimisha majin ayaanze badilishwa.
   
 6. m

  marvin ogochuku Member

  #6
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  great minds discuss ideas
  average minds discuss events
  small minds discuss people
   
 7. y

  ycam JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 757
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 180
  Mazingira ya tukio zima yanainyooshea kidole serikali. It is hard for the government to come clean with this, given its recent statements. Get well soon Dr. Ulimboka.
   
 8. N

  Ngarenaro JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mtoa mada acha kupotosha wana jamvi hakuna mahala ambapo, Mhe. Pinda alisema lolote laweza kumtokea Dr. Ulimboka. labda aliyazungumza hayo mkiwa wawili tu. Tusidanganyane
   
 9. Wachovu

  Wachovu JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 1,197
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  wewe ulitegemea nini , mmoja ni mwanajeshi na mwingine ni usalama wa taifa, wauaji wakubwa
  Usitegemee kuwa ni watu wazuri, licha ya kuwa kazi zote hizi eti ni kulinda raia lakini wanakuwa wauaji pia
  wewe angalia kicheko chao wote ,ni ndumila kuwili hao
   
 10. Wachovu

  Wachovu JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 1,197
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  wewe ulitegemea nini , mmoja ni mwanajeshi na mwingine ni usalama wa taifa, wauaji wakubwa
  Usitegemee kuwa ni watu wazuri, licha ya kuwa kazi zote hizi eti ni kulinda raia lakini wanakuwa wauaji pia
  wewe angalia kicheko chao wote ,ni ndumila kuwili hao
   
 11. T

  Topical JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mmechoka na serikali dhaifu mnataka serikali ya ki-dicteta??

  Sasa kipigo kidogo tu mnalia nini? dicteta wanaua na kuzamisha kijiji..sembuse daktari moja/
   
 12. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nimeamini wabongo wenge vilaza. Kwanini inakuwa vigumu kukumbuka aliyosema Pind mwezi Februari. Mtoa mada kawatega kwa kuacha mtafune wenyewe badala ya kutafuniwa. Najua ni vigumu kwa mbongo kusoma kila kitu between the lines. Tuache ushamba kutetea upuuzi. Serikali imemteka na kumtesa Ulimboka. Nani anamilki bunduki zaidi ya serikali. Yaliyomtokea Ulimboka yangemtokea Ridhiwan polisi wangekuwa wameishawakamata wahusika.
   
 13. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #13
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Nyamaza kama huna taarifa!! Sio kukataa, au uliza!
   
Loading...