Tuipe chadema m i a k a m i t a n o | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuipe chadema m i a k a m i t a n o

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwiba, Jun 29, 2012.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Naona ipo haja ya kuiunga Mkono CDM na kuikabidhi Nchi kwa Miaka mitano ,Miaka mitano sio mingi ,iwapo mikakati ya Katiba itatuweka katika hali nzuri kidemokrasia ,basi wanachi kama wananchi ambao ndio wahusika wakubwa katika kuiweka serikali ya chama chochote madarakani watakuwa wapo hai kuiondoa.

  Kama Chadema itafanya utumbo ndani ya miaka hio mitano itakuwa rahisi kuiondoa na sheria zilizopo zitatumika kuwaadhibi ikiwa wamefanya ufisadi bila ya kusitasita na adhabu kubwa itakuwa kuiondoa madarakani ili wawapishe wengine mpaka pale bahati nasibu ya WaTz itakaposhinda kupata Chama kitakacho inua maisha ya Mtanzania na kuyaondoa hapa yalipo.

  Let us give CDM 5yrs term to see how they are going to Change Nchi yetu na kuifanya pepo ya East Afrika ,tutumie nguvu ya kura kuiweka madarakani na tutumie nguvu hiyohiyo ya kura kuiondoa madarakani ,tunajua inatuchukua miaka kuiondoa CCM madarakani tena kwa mbinde ,hatutasita kuiondoa CDM kwa kutumia mbinde hizi hizi na itakuwa rahisi ikiwa itavuruga katika kuliongoza taifa hili,miesi mitatu ya mwanzo inatosha kuona muelekeo wa serikali.

  Ingawa tutawapa nchi ikiwa katika hali mbaya sana na nyeti itabidi tuwe na uvumilivu ila kwa nchi tajiri kama hii ya Tz miaka mitano ya utawala mzuri mabadiliko yanaweza kuonekana na kukubalika na wananchi.Kuvuruga kwao na kufanya manyago ndio itakuwa tiketi ya kuwaona wao kuwa hawafai ,pia waondoe uchu wa madaraka kwa kuweza kutoa wizara moja au mbili kwa vyama vingine.
   
 2. J

  Joblube JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sio tuipe, Sema wale tusio thaifu tutaipa CHADEMA 2015 kwisha waliodhaifu wataipa CCM
   
Loading...