Mheshimiwa Mnyaa ndani ya Star TV

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
748
133
Jamaa kanikuna sana. Kweli sasa CUF mmeanza kuonesha ninyi mnasimamia watanzania. Kipindi cha nyuma mmetaka kudanganywa na ndoa batili ya CCM.
 
Jamaa kanikuna sana. Kweli sasa CUF mmeanza kuonesha ninyi mnasimamia watanzania. Kipindi cha nyuma mmetaka kudanganywa na ndoa batili ya CCM.
Ni vema kama ungetuwekea hoja zake alizoongea kuliko kusifia tu.
 
Jamani naomba aulizwe Mnyaa katika baraza la uwakilishi huwa wanasoma bajeti? akina nani wanaochangia maoni, makusanyo ya kodi yanafanyika bara tu? HUKU KUNA TRA huko kwao kuna mamlaka gani ZRA au ....?
mbona wakiwa mjengoni kwetu wanaongea kama vile .....**# MUUNGANO hawautaki kabisa ni mpango wa siuf au wa viongozi walioko madarakani au UHAMSHO ?
 
Back
Top Bottom