Mbunge:mwenge unachochea ngono | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge:mwenge unachochea ngono

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bilionea Asigwa, Jun 29, 2012.

 1. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  MBUNGE wa Micheweni, Haji Khatib Kai (CUF), amesema kuwa mbio za Mwenge wa Uhuru zimekuwa zikilalamikiwa kwamba zinachochea vitendo vya zinaa kwenye vituo unavyopiga kambi.

  "Mheshimiwa Spika, mkesha wa mbio za mwenge mara nyingi huhamasisha masuala ya ngono ambayo hueneza Ukimwi na magonjwa mengine, je hamuoni kuwa jambo hilo ni kosa na halina faida kwa mustakabali wa nchi yetu,''.

  Naona huyu jamaa kaongea kitu cha maana sana kwani kunako mwenge watu huwa wanananihii sana na ninaamini kila ukipiga kambi lazima wapata ngoma ni wengi mnoo...naona huu mwenge sasa ufutwe tu HASARA ni KUBWA kuliko FAIDA

  SOURCE:GAZETI MWANACHI
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kweli kabisa, Mwenge hauna faida yoyote zaidi ya kuliingizia taifa hasara kubwa.
   
Loading...