Kuna sababu gani ya kuendelea na kikao cha bunge? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna sababu gani ya kuendelea na kikao cha bunge?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ileje, Jun 29, 2012.

 1. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Ukifuatilia mijadala ya bunge kuhusu bajeti ya serikali na hoja ya waziri mkuu utagundua kuwa miradi mingi iliyopangwa miaka mitatu iliyopita ama haijatekelezwa au haijaanza kabisa!

  Ushauri wangu ni kuwa wabunge waamue kusitisha mijadala ya wizara nyingine zote na kuiagiza serikali kuendelea utekelezaji wa miradi iliyopangwa miaka iliyopita badala ya kuanza kujadili miradi mipya! Hii itaokoa muda na fedha kujadili miradi isiyo tekelezeka!

  Tafakari!
   
 2. m

  mamajack JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kweli kabisa.bunge halina tija maana wanayojadili hayapo kabisa kiuhalisia.
   
 3. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Hata wanavyojadili haina maana kabisa yaani spika sijui anaharaka ya nini wakati kila siku mamabo yale yale eti kuna mambo waziri anasema kwa ajili ya muda atayaeleza baadae

  maoni yangu kwa nini wasizungumze swala moja week nzima wakalimaliza kwa mfano leo nimesikia tan power wamekopa nssf billion alafu hio inakuwa ni deni la taifa maana hio hata mimi na wewe tutalipa wakati mkapa kala
   
Loading...