Chadema yamuhamisha dc igunga mama kimario.

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,274
9,911
Rais Jk amemuhamisha kituo cha kazi mkuu wa wilaya ya Igunga Fatma Kimario kwenda kisarawe pwani.

Chanzo cha habari kinasema mama huyo amehamishwa kimya kimya hii inatlokana na mama huyo kutokuwa na mahusiano mazuri na wanainchi hivyo kushindwa kutimiza majukumu yake vizuri.

Chanzo hicho kinasema tlokea ya tukio la kupigwa na watu wanaosadikiwa nai CHADEMA alipoteza kabisa mvuto kwa wananchi.

Kama unakumbuka vizuri tukio lile lilikuwa ni doa kubwa sana kwake baada ya kukutwa akiendesha kikao cha siei na watendaji wa vijiji na wazee kwa lengo la kuichafua CHADEMA kilisema chanzo hicho.
 
Kesi iliyokuwa inawakabili wabunge wa CHADEMA kwa kumvua hijab iilikwishaje?
 
Back
Top Bottom