Wananchi upatikanaji wa huduma ya Afya upo mikonomi Mwetu.

Mtuhurumawazo

Senior Member
May 19, 2012
146
27
Siamini kuwa chama kilicho shawishi wananchi na kusaini mkataba wa kuongoza nchi hii kwa lengo la kuleta maendeleo na kutoa huduma muhimu ikiwa ni pamoja na afya. Leo hii huduma hii naikosa nikimaashanisha kuwa serikali imevunja mkataba huu (breaching the contract). Sasa sina sehemu ya kuishitaki ila nashawishi wananchi kuandamana kuishinikiza serikali ili tupate huduma hii muhimu.
 
Back
Top Bottom