Uongozi wetu ni Dhaifu-Mkosamali

Nzenzu

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
858
164
Leo asubuhi ktk kipindi cha "Tuongee Asubuhi" kinacho rushwa na StarTv Mh. Mkosamali amekaririwa akisema kuwa sababu kubwa ya kutokutekelezeka kwa Ahadi walizoahidiwa wananchi "UDHAIFU WA UONGOZI WA SERIKALI YETU ILIYOPO MADARAKANI SASA". Hii inathibitisha ile kauli ya Mh. Mnyika kuwa RAIS KIKWETE NI DHAIFU.
 
Back
Top Bottom