Msije tuambia Dr. Ulimboka amekufa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msije tuambia Dr. Ulimboka amekufa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by fikirikwanza, Jun 29, 2012.

 1. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mods sasa hii ni noma kufuta threads-

  Kimsingi wahusika wote husasani madaktari muwe makini, kulinda afya ya dr. Ulimboka, ni wazi atakuwa anatafutwa na watu wenye nguvu, uwezo kifedha na support kubwa kutoka kwa waliowatuma.

  Nahofia tusije ambiwe alizidiwa ghafla hatuna tena. Chonde chonde kuweni makini.

  Nawasilisha tena.
   
Loading...