Kauli ya kutumia waganga wa Jadi Hospitali za Rufaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli ya kutumia waganga wa Jadi Hospitali za Rufaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mjomba wa taifa, Jun 29, 2012.

 1. Mjomba wa taifa

  Mjomba wa taifa JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kama serikali imeshindwa kutekeleza mahitaji ya madaktari hadi kufikia uamuzi wa kuweka zana za kazi chini, nilitarajia serikali itoe tamko la kuwatumia waganga wa Jadi katika hospitali zote za rufaa.

  Ni ukweli usio na shaka kuwa serikali haipo tena radhi kutekeleza mahitaji ya madaktari na pia madaktari wamechoka kudhalilishwa.

  Nchi ina waganga wengi wa jadi ambao nadhani viongozi wengi wa serikali wamekuwa wakipata huduma toka kwa wataalamu hawa. Kauli ya mheshimiwa Waziri Mkuu ya kuahidi serikali kutoa tamko jana na kufuatiwa na kauli yake ya LIWALO NA LIWE nilitarajia kusikia tamko rasmi kuwa Serikali imeamua kutumia waganga wa Jadi katika hospitali zote.
   
 2. L

  LOVI MEMBE JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,121
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Liwalo na Liwe ina maana nyie wananchi mlie hatutekelezi madai ya madaktari hata kama wananchi watakufa . afterall viongozi wa serkali si wanapelekwa INDIA? NI MWANANCHI GANI MIONGONI MWETU AMBAYE NI MLALA HOI ANAKWENDA INDI GHARAMA ZA SERKALI KAMA SIYO SAYUKI AMBAYE HATA HIVYO NI BAADA YA KUPIGIWA DEBE NA MASANJA MKANDAMIZAJI
   
Loading...