Saidi Mwema Jiuzulu

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Polisi nchini Tanzania, badala ya kuwalinda raia, wamekuwa wauwaji wakubwa wa raia. Tumechoka, kabla hatujachukua sheria mikononi mwetu kujilinda dhidi ya polisi kupitia nguvu ya umma, tunamuomba IGP, Shemeji yake JK ahachie madaraka.

Mwema tunaomba ujiuzulu.

Kamanda Msangi aliyeshiriki kumtesa Dr. Ulimboka yupo chini yako. Tunaomba awajibishwe haraka iwezekanavyo vinginevyo raia mtutauuwa wengi mwaka huu... "Peoplesssssssss Power"
 
Hatuna haja ya kuwa na wakuu wa jamii hii naunga mkoono 100% wajiuzulu tu.
 
Badili heading hiyo kuwa 'Mwema anapaswa kujiuzulu.' Watu wengine sijui mliruka madarasa.
 
Kwa hiyo watesaji wanazidi kujulikana. Nyange ni nani? Hii aibu ingekua hata kwa majirani zetu Kenya waziri wa usalama wa rai na mkuu wa polisi wangekwisha lazimwa kujiuzuru!
Polisi nchini Tanzania, badala ya kuwalinda raia, wamekuwa wauwaji wakubwa wa raia. Tumechoka, kabla hatujachukua sheria mikononi mwetu kujilinda dhidi ya polisi kupitia nguvu ya umma, tunamuomba IGP, Shemeji yake JK ahachie madaraka.

Mwema tunaomba ujiuzulu.

Kamanda Nyange aliyeshiriki kumtesa Dr. Ulimboka yupo chini yako. Tunaomba awajibishwe haraka iwezekanavyo vinginevyo raia mtutauuwa wengi mwaka huu... "Peoplesssssssss Power"
 
Badili heading hiyo kuwa 'Mwema anapaswa kujiuzulu.' Watu wengine sijui mliruka madarasa.

hamna kubadili heading uyu jamaa saiv ameshafanya kifuta na amekua mfanyabiashara juzi tu alishusha magari mengi pale bandarini zilikua ni suzuki carry. serikali inakataza kila siku biashara na utumishi wa umma
 
Mwema ni tatizo la kijamii hilii.Kawa Fisadi wa kupindukia jamani.hata pale kinyerezi kwa mkewe mdogo walilazimisha barabara kupita kule ili walipwe.Kavunjiwa Fansi tu kalipwa milioni mia moja.wakati watu wanavunjiwa nyumba kupisha upanuzi wa barabara hawalipiwi hata senti tano.
Tumechoka na viongozi wasio jali maslahi ya WaTanzania.
Chagua Chadema kwa mabadiliko ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom