Bifu ya magharib kwa Iran,Serekal kukod madactar kutoka Iran,hii ndo tafsir yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bifu ya magharib kwa Iran,Serekal kukod madactar kutoka Iran,hii ndo tafsir yake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kidotulotokordwak, Jun 30, 2012.

 1. Kidotulotokordwak

  Kidotulotokordwak JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bf kat ya magharib na iran kuhusu mpango wake wa nyuklia ipo waz paka iran kufikia hatua ya kuchoma bendera ya uingereza pamoja na kufukuza mabaloz wa uingereza,URUSI pekee ndiyo mtetez wa nch za mashark ya kat,nch za magharb znazshinikiza nch nyingine kutofanya biashara na benk ya iran,mshirika yoyote wa iran ni adui wa magharb.Serikal yetu inaitaj kukod madaktar kutoka iran ambayo imbayo ina bf na magharb,inanifanya nianze kuamini kwamba serekal imeshashtukia kuwa magharb ndio wanaotumika kushinikza migogoro ndan ya serekal ya kikwete,ctoshangaa kwa serekal ya iran kutoa idad yoyote ya madaktar ili kuongeza washirika,unafkir magharb wataichukuliaje serekal ya tanzania?je nguvu ya umma itashinikizwa kuiondoa serekal kama libya?je mkuu wa majesh atatumika na magharb kumuondoa rais kama ilivyokuwa kwa mali?kama haya yamewezekana kwa nch zingine hata kwa tz inawezekana yakatokea,jarb kupma kaul za serekal kma"LIWALO NA LIWE" na hatua za serekal zinazochukua kutatua mtatizo yake,na hal ya kisiasa duniani.hw do u take this matter?
   
 2. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  mmmh! Tufunge mikanda
   
Loading...