fikra za kukomboa uchumi na ufujaji wa fedha za watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

fikra za kukomboa uchumi na ufujaji wa fedha za watanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PAUL KWEKA, Jun 30, 2012.

 1. P

  PAUL KWEKA New Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  hizo fedha wanazotaka kuajiri madaktari kutoka nje ya nchi kama economist na risk taker kwa nini wasiwalipe madaktari wa ndani hizo fedha, kwa sababu zifuatazo watakuja kutoka watakakotoka watalipwa usafiri, watapangishiwa nyumba gharama zote hizo zatosha kupunguza kero za hawa madaktari wetu wa ndani
   
Loading...