SERIKALI inachezea WALIMU

May 1, 2012
95
96
Jana Naibu Waziri wa Elimu Kassim Majaliwa katika kujibu HOJA iliyoulizwa na JENISTA MHAGAMA aliyetaka kujua ni ni hatua gani SERIKALI inachukua ili kuepusha MGOMO wa WALIMU ambao kwa sasa unafukuta waziri alijibu hao wanaojionesha kwenye TV sehemu mbalimbali ni WAHUNI wanaotaka kuifanya serikali isitawalike na kwamba VIONGOZI wa CWT hawawatambui hao wanaogoma.Je WALIMU mmesitisha MGOMO,Je mmeridhika na MISHAHARA. AMKENI hamjachoka kuvaa VIRAKA na kuwa na MADENI.
 
Tatizo hapa siyo mishahara, Tatizo ni serikali kushindwa kuimarisha uchumi kama alivyofanya raisi mstaafu Ben Mkapa. Hata waongezewe pesa kiasi gani bado peasa hizo zitakuwa hazitoshelezi kwa sababu gharama nyingine hasa za bidha na huduma nazo zitapanda. Tatizo jingine ambalo serikali imeshindwa kulishughulikia ni ufisadi. Bila hili kushughulikiwa kikamilifu ni ndoto uchumi wetu kuimarika. Solution: Kumpiga chini Raisi kwa njia halali.
 
Back
Top Bottom