Omari Nundu vs Rostam Aziz

arigold

JF-Expert Member
Jun 23, 2011
600
341
Kumbe lile dili la dola milioni 300 lilichongwa na Rostam ambaye alisha waweka sawa watu wa MAGAZETI, TREASURY, TPA MANAGEMENT, KAMATI YA BUNGE, BODI YA TPA na wengineo

kazi ya USD 300 MILLION ilikuwa over inflated to 600 million....mkulo out of those angepata 24 million usd

Nundu ndugu yetu kazi unayo maana kama ngoma ni vs ROSTAM hii haitoisha leo wala kesho sasa subirini muone kijana wa rostama akija hapa JF kuja kumsafisha.
 
Lete source
 
Mimi binafsi toka ndani ya moyo wangu namuona Nundu kama hana hatia ila ameingilia tu kwenye mirija ya watu ambao walikuwa wamejipanga kujinufaisha.

Nundu ni intruder ndio maana anapigwa kila mahala watu walikuwa na mchongo wao yeye amekuja kuharibu sherehe.
 
Naona connection ya Rostam hapo ndio maana Mwenyekiti wa kamati ya miundombinu Serukamba nae alikuja juu akimshambilia Nundu juu ya hiyo dilii!! Huyu Serukamaba ni boi ya Lowassa na Rostam na EL lao ni moja. Kama ni hivyo ni dhahili kuwa Nundu hawezi kubakia kwenye wizara hiyo kwani hilo dili kama limesukwa na Rostam mkweree lazima ana mshiko safi hapo. Ningekuwa Nundu saa hizi nahamisha vitu vyangu toka hiyo ofisi kwani ibilisi kisha ingia; serikali hii haitaki wazalendo inawakumbatia maharamia kwa kwenda mbele!!
 
Hawezi fanya hivyo kwani alishasema hata chooni ataingia kufuatilia utendaji
 
Kwa kweli Nundu kashambuliwa sana na kamati ya miundimbinu. Lakini kama kweli kuna mkono wa Rostam, Serukamba lazima ang'ake kwa sababu ni mfuasi mkubwa wa Rostam. Nilifikiria sana kuwa serukamba kapata wapi ujasiri huo, kumbe kuna mgao wake kapata au ameaidiwa kupata. Sijawahi mkubali Serukamba hata siku moja na sitegemei kuwa anaweza kuwa mtetezi wa wanyonge. Namwomba Mh. Rais amwache waziri Nundu kwenye wizara hiyo ikiwa kweli alichokisimamia ni cha kweli. Aidha nashauri serikali itumie vyombo vyake vya dora kubaini ukweli na haki itendeke na kama naibu waziri amemzunguka waziri wake awajibishwe mara moja.
 
Waziri Nundu ni mtu safi, mtu wa maadili, hahongeki wala si mtu wa tamaa. Yeye ni mtaalamu wala si mwanasiasa ndo maana walijua hawawezi kumshirikisha kwenye mchezo mchafu.

Miaka yote amefanya kazi ICAO akiishi Canada, dola kazizoea na ana pesa na malupulupu ya ICAO na wizara na nchi hii inamuhitaji

Naona story za vijiweni zinakuja JF kwa kasi!

Ulipo na maslahi napo waweka comment za kitoto kabisa, unatumika vibaya ila mwishoni jiandae kudondoshwa kama gunia la viazi. Pole yako kwa aibu na fedhea unayojitengenezea weye na familia yako.
 
Kwa kweli Nundu kashambuliwa sana na kamati ya miundimbinu. Lakini kama kweli kuna mkono wa Rostam, Serukamba lazima ang'ake kwa sababu ni mfuasi mkubwa wa Rostam. Nilifikiria sana kuwa serukamba kapata wapi ujasiri huo, kumbe kuna mgao wake kapata au ameaidiwa kupata. Sijawahi mkubali Serukamba hata siku moja na sitegemei kuwa anaweza kuwa mtetezi wa wanyonge. Namwomba Mh. Rais amwache waziri Nundu kwenye wizara hiyo ikiwa kweli alichokisimamia ni cha kweli. Aidha nashauri serikali itumie vyombo vyake vya dora kubaini ukweli na haki itendeke na kama naibu waziri amemzunguka waziri wake awajibishwe mara moja.

Akayewajibishwa ni Nundu as usual kwani ****** ana mshiko wake kupitia kwa Ridhiwani. Endeleeni kutoa machozi liwalo na liwe hukumu ni 2015 hayo mengine ni kelele za chura. Kama atabadili cabinet utashanga hiyo timu ya sasa ni cha mtoto itakuwa ya aibu and nimjuavyo ****** hatabadili kisingizio wanatengeneza bajeti ??
 
Game over

Rostam kashinda na ataendelea kula na Mwakyembe hizo dola milioni 600
 
Inasikitisha sana kuona watu wenye nia njema na nchi hii wakichezewa rafu. Ila lile dili alilolikataa Mh. Nundu huyu akilipitisha nchi haitatawalika. Japo watanzania wanaonekana ni wajinga lakin nadhani hawawezi kuendelea kuvumulia.
 
Waziri Nundu ni mtu safi, mtu wa maadili, hahongeki wala si mtu wa tamaa. Yeye ni mtaalamu wala si mwanasiasa ndo maana walijua hawawezi kumshirikisha kwenye mchezo mchafu.

Miaka yote amefanya kazi ICAO akiishi Canada, dola kazizoea na ana pesa na malupulupu ya ICAO na wizara na nchi hii inamuhitaji

Usafi wake ndio unaomuondoa kwny madaraka......lile ni chama la wachafu.....wezi, mafisadi sasa haiwezekani ulast long while unainterupt deal za wenye inji.
 
Kumbe lile dili la dola milioni 300 lilichongwa na Rostam ambaye alisha waweka sawa watu wa MAGAZETI, TREASURY, TPA MANAGEMENT, KAMATI YA BUNGE, BODI YA TPA na wengineo

kazi ya USD 300 MILLION ilikuwa over inflated to 600 million....mkulo out of those angepata 24 million usd

Nundu ndugu yetu kazi unayo maana kama ngoma ni vs ROSTAM hii haitoisha leo wala kesho sasa subirini muone kijana wa rostama akija hapa JF kuja kumsafisha.

katika mawaziri walioonewa ni Nundu.mfutakamba alikua anatumiwa na Rostam..huyu ms*nge Rostam ameshafanya hapa kama nyumba ya bibi yake anaweza kuvunja glass, masahani, na kuharibu chcochcote anachokitaka bila ya kunyooshewa kidole.

yaani fikiria mtu achukue $300 mil halafu mimi, wewe, mama,baba, watoto wetu tuanze kulipa deni hewa kwa wachina..huyu jamaa amnaleta sana hasira huyu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom