Spika Makinda alaani vyombo vya habari

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Spika wa bunge Anne Makinda amelaani vyombo vya habari Tanzania kumkalia kooni kwamba amekuwa akipendelea wabunge wa CCM bungeni na kukandamiza wale wa CDM.
Makinda amesema kinachosumbua waandishi wa habari hawazijui kanuni za bunge na kuwashauri wazisome.Amesema kelele za waandishi wa habari kamwe hazimtishi na ataendelea kutumia kanuni kudhibiti nidhamu ndani ya bunge.

Source:Nipashe Uk 3
 
Huyu mwanamke anatapatapa tu

Huyu mama anaongea kishabiki, huyu dogo ndungai hajui kazi yake, kwamba anatakiwa aache hata mambo ya uchama anapochair bunge. Hata mtoto mdogo anajua kwamba ndunga, kwa kupenda sifa za kitoto anawasumbua sana wapinzani bungeni,

Upendeleo upo
Nadhani kuna improvement sana kwa , Makinda, dada, na zungu. Lakini Ndungai Looooo aibu.
 
Kumbe kanuni zilizopo zinapendelea chama fulani. Nafikiri angelaumu maendeleo ya utandawazi
 
Spika wa bunge Anne Makinda amelaani vyombo vya habari Tanzania kumkalia kooni kwamba amekuwa akipendelea wabunge wa CCM bungeni na kukandamiza wale wa CDM.
Makinda amesema kinachosumbua waandishi wa habari hawazijui kanuni za bunge na kuwashauri wazisome.Amesema kelele za waandishi wa habari kamwe hazimtishi na ataendelea kutumia kanuni kudhibiti nidhamu ndani ya bunge.

Source:Nipashe Uk 3
Mdala mdesi Khu!
 
huyu mama hajui hata anachoongea ni nini? uspika wenyewe kapewa bado anajidai tu...bora akae kimya...nani asiyeona jinsi anavo suppress wapinzani?au anadhani sisi hatuoni !!!
 
Spika wa bunge Anne Makinda amelaani vyombo vya habari Tanzania kumkalia kooni kwamba amekuwa akipendelea wabunge wa CCM bungeni na kukandamiza wale wa CDM.
Makinda amesema kinachosumbua waandishi wa habari hawazijui kanuni za bunge na kuwashauri wazisome.Amesema kelele za waandishi wa habari kamwe hazimtishi na ataendelea kutumia kanuni kudhibiti nidhamu ndani ya bunge.

Source:Nipashe Uk 3

Hapo kwenye red: Makinda amekuwa anarudia rudia sana hiyo kauli, utadhani kanuni za bunge ni manual ya kutengeza rocket! Lakini ukitafakari kwa makini utagundua anachosema Makinda ni kwamba 'Spika' anakili za ziada, anaona mambo ambayo mtu mwingine yoyote hawezi kuona, na anachosema hakuna mtu anatakiwa kupinga maana she's 'perfect'. Zidumu fikra za spika!
 
Huyo atakuwa anamatatizo ya kutokuwa na mme,maana wanawake wasipopata mchi kwa muda mrefu,wanachanganyikiwa kabisa na kufanya mambo bila kutumia ubongo.
 
Hivi ni kweli kuwa wanaokosa nidhamu ni wa upinzani tu ama anamaanisha nini? maana ukiangalia utaona wa ccm ndo waropokaji zaidi ama anadhani hatuoni kinachotokea. wafanye kazi yao kwa haki hawatadhurika chochote!
 
hii mbona sio habari? maana haitegemewi avipongeze vyombo vya habari maana anajua kwa nini amekalia hicho kiti kwa sasa....
 
Ameanza kujishitukia sasa,yan ccm wanatoa lugha zisizo faa na wenzao kuwapa pesa ina onekana ni sawa,

mnyika kusema ukweli kwamba jk ni dhaifu ni utovu wa nidhamu.

Mwigulu, lusinde walitoa lugha za kashfa hawakuambiwa wa fute kauli zao, lakini mdee alipomwambia Ngeleja uwaziri una muuma akaambiwa futa kauli yako kwanza.

Lazima akubali kuwa yeye na ndugai wanapendelea wana ccm yani ndugai ndio alizidisha sana.

Makinda busara na yeye hakuna kabisa kichwani mwake ndio maana akawaita waandishi wa habari wapuuzi baada ya kuambiwa ukweli.
 
Huyu mama anapenda kulalamika wakati anafahamu kabisa anacho kifanya.
Ni mama mbinafsi sana yuko kimaslahi zaidi.
 
NDIYO maana weznake ndani ya chama wanamuita - BI KILOBOTO - kutokana na vituko vyake.
 
Kwana ajiulize ye ndo spika wa kwanza? Kila siku kanuni wenzake walikuwa wanaendesha hilo bunge bila kanuni? Mbona kwa mzee 6 hatukusikia malalamiko. Upendeleo wanao ufanya hata kipofu anaona cha muhim ajilekebishe 2 hakuna njins kama anataka bunge liwe na amani bila hivyo watakuja kuogonga bule.
 
Huyu mama anakera, hafanani na kuwa spika...., hili ni janga lingine ambalo tunalo.
 
Hapo kwenye red: Makinda amekuwa anarudia rudia sana hiyo kauli, utadhani kanuni za bunge ni manual ya kutengeza rocket! Lakini ukitafakari kwa makini utagundua anachosema Makinda ni kwamba 'Spika' anakili za ziada, anaona mambo ambayo mtu mwingine yoyote hawezi kuona, na anachosema hakuna mtu anatakiwa kupinga maana she's 'perfect'. Zidumu fikra za spika!

Mkuu, hata mimi nimekuwa nikikereka sana na marudio ya mara kwa mara ya hilo neno "watu au wabunge kutokujua kanuni za bunge".
Ni kitu gani hicho ambacho ni so special and complicated, ambacho wale wanaokalia kile kiti pale mbele pekee ndio waliopasi mtihani wake mpaka kuchaguliwa kukikalia.

Au ni lugha gani iliyotumika kuziandika kiasi cha kuwafanya wengine pamoja na wabunge wa upinzani kushindwa kuzielewa?
Binafsi nikisikia wanavyoliona hili jambo kama la ufahari na kuanza kuzisoma pale mbele utafikiri kazikariri kichwani kumbe zinadesiwa kutoka katika kajitabu alikonako pale mbele, huwa inanisikitisha.
 
Back
Top Bottom