Serikali Kuleta Madaktari Kutoka Nje Ya Nchi - Bilioni 200 Zatengwa Kuwalipa.

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
akhasante MUNGU;

MUNGU MKUBWA.................
 

Attachments

  • GAZETI.jpg
    GAZETI.jpg
    37.6 KB · Views: 52
jaman nayo serikali yetu kwa nin isinge kaa nao chini kisha wamalize tofauti zao kuliko kubeba mzigo mwingine na hizo fedha sizingepunguza makali ya mgomo
 
Wasisahau kupeleka na madaktari wa kutosha kwenye ile hospital
yao mpya kung'oa meno na kucha huko kwenye msitu wa mabwepande
 
Nadhani tatizo linaahirishwa kwa muda kwani najiuliza watakuwepo hapa nchini hadi lini? yAWEZEKANA KABISA KWA MAZOEA IKAWA NI SULUHISHO LA MUDA MFUPI TU. NAMUOMBA MUNGU NA KUSHUKURU KAMA KIKAO CHAO KILIKUJA NA LONG TERM SOLUTION AMBAYO BADO SIJAISIKIA.
 
serekali kweli inaongozwa na wendawazimu, hizo bil 20 kiasi gani kinahitajika kuwalipa madokta nyongeza yao ? si nasikia ni malipo ya mwaka mzima,kwanini wanachezea hela za walipa kodi badala ya kuboresha mazingira katika hospitali zetu kwa fedha hizo, ee mola tuokoe
 
GLOBALIZATION... IRAN KWAO MTAJI MAANA AJIRA ZIMEFUGWA KWAO ZIPO TANZANIA
:closed_2:
 
Hii serekali dhaifu na liwalo liwe je Wauguzi nao wakiwakataa hao madaktari itawaleta na wauuguzi? Shame on Tanzania Govt
 
Back
Top Bottom