Siasa inapochanganywa na utaalamu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa inapochanganywa na utaalamu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Msittu, Jul 1, 2012.

 1. Msittu

  Msittu Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 15
  Siasa inapochanganywa na utaalamu kwa manufaa ya utaalamu siasa huwa bora, ila siasa inapochanganywa na utaalamu kwa manufaa ya kisiasa siasa huwa safi. Bali siasa na utaalamu visipochanganywa siasa na utaalamu huwa dhaifu na hatimaye siasa huishia kuwa mchezo mchafu wakati utaalamu ukibaki kuwa duni. siasa na utaalamu ndivyo viungo muhimu vya jamii bora, huru, thabiti na endelevu.
   
Loading...