Kwa watoto, mama wajawazito, wazee wasiojiweza na wengineo mahospitalini... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa watoto, mama wajawazito, wazee wasiojiweza na wengineo mahospitalini...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Jul 1, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Kwa kuwa serikali imeendelea na msimamo wake, na Mahakama imeshatoa tamko, na madakitari wameendelea na mgomo!!.
  Na inaonekana hakuna suluhu, na watoto,mama wajawazito,wazee wasiojiweza na wengine wanaendelea kupoteza maisha majumbani na mahospitalini,
  Je Ninani wa kubeba hii lawama ninani alaumiwe??kwa kusababisha haya matatizo yanayoendelea??
  Wewe kama una mke,mtoto ambaye alishhawahi kuumwa unaweza changia!!uwe dakitari,au kiongozi waserikali toa maaoni yako!Nikipi kifanyike ili hali irudie kama kawaida watu warudi makazini....na kwakuwa madai yao ni yamda mrefu je warudi kazini bila kupewa ili waokoe maisha ya watoto,mama wajawazito?/huku wakiendelea na mashauliano juu ya madai yao huku wakitoa huduma??
   
 2. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kINACHOTAKIWA NI MTU AU BAADHI YA WATU KUANZISHA MAAMBO YA KAMA TUNISIA, MISRI, LIBYA NA MISRI NA WENGINE KUFUATA. HILA KATIKA HILI NDUGU ZANGU INATAKA UJASIRI MAANA MOTO WAKE SIYO MCHEZO
   
Loading...