Pendekezo: Ianzishwe Dr. Ulimboka Foundation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pendekezo: Ianzishwe Dr. Ulimboka Foundation

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kitalolo, Jul 1, 2012.

 1. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Napendekaza ianzishwe taasisi ijulikanayo kama Dr. Ulimboka foundation.

  Kazi zake iwe ni kuchangisha fedha kutoka kwa wananchi ndani ya nchi na kwa wafadhili nje ya nchi kwaajili ya ununuzi wa vifaa vya tiba katika mahospitali yetu.

  Taasisi hii inawezwa kusimamima na chma cha madaktari Tanzania, na watapita nchi nzima katika hospitali zetu kuangalia magitaji ya vifaa tiba pamoja na mahitaji mengine kwenye hospitali zetu, hii ikiwa ni katika kuhakikisha kuwa baada ya sakata la Dr. Ulimboka limetufanya kuchukua hatua na kufikiri nje ya box badala ya kuisubiri serekali tu kufanya kila kitu.

  mpango mzuri wa usimamizi wa taasisi hii unaweza kuundwa ili kuzuia furwa za watu kujinufaisha na mpango huo.

  Nafikiri kwa hapo tutakuwa tumeisaidia Serekali kwa kiasi kikubwa maana serekali imeonyesha kushindwa katika hili.

  Pia serekali ikaachiwa jukumu moja la kuhakikisha maslai ya madaktari pamoja na wafanyakazi wa sekta ya afya nchini yanaboreshwa. Kwahapo sifiukirii kama serekali itashindwa tena kutekeleza majukumu yake ya kuhakikisha inaboresha maslai ya wahudumu wa afya.

  Serekali isione aibu kushirikia na taasisi hii katika kuhakisha ubora na upatikanaji wa vifaa tiba mapoja na kuboresha hali za vituo vya tima pamoja na hospitali nchini.

  Nafikiri tumekuwa tukishuhudia watu, taasisi, mashirika na makampuni mbalimbali katika nchi hii yakijitoa kwaajili ya shughuli mbalimbali za kijamii, nafikiri kwa hili itakuwa zaidi.

  Pia unaweza kuanzishwa mpango maalumu wa VIP ambapo mtu atakuwa akilipia hudumua ya afya kabla ya kuipata na akawa na kadi maalumu kwaajili ya tiba. wanachama wa mpango huu watajulika idadi yao na kiasi watakachokuwa wanachangia kwa mwaka kitajulika hata kabla hivyo kuwezesha mpango huu kuwa na uhakika wa kiasi fulani cha fedha kwa mwaka.
  Vikaanzishwa huduma za VIP katika hospitali zetu mgonjwa anapiga simu na kama anataka hata huduma ya tiba inaweza ikapelekwa mahali alipo kama nyumbani au ofisini na kwenye mahospitali kukawa na sehemu maalumu za kuwapokea wagonjwa wa VIP na kuwapitia special treatment.
  Mpango huu unaweza kuwa ni walazima kwa baadhi ya viongozi wa serekali wakiwemo wabunge.

  IKIWA ILIWEZEKANA KUCHANGISHA HELA ZA KUMPELEKA DR. KWA MATIBABU NJE YA NCHI NAFIKIRI KWA HILI ITAKUWA ZAIDI SANA.

  NANYI MADAKTARI NA WAUDUMU WA SEKTA YA AFYA NCHINI MSIBAKI KUILAMU SEREKALI TU JARIBUNI KUBUNI NJIA ZITAKAZOISAIDIA SEREKALI ILIOSHINDWA KUTIMIZA WAJIBU WAKE ILI IWEZE KUUITIMIZA KWA KUSHIRIKIANA NANYI.

  NAAMINI KWA HAPO TUTAKUWA TUMELIFANYIA KITU TAIFA LETU BADALA YA KUSUBIRI TAIFA LITUFANYIE VITU.

  NI MAWAZO YANGU TU YA KIJINGA UNARUHUSIWA KUNIKOSOA NA KUNISAHIHISHA ILI WALAU KITU FLANI KIFANYIKE.

  NA KWELI KAMA KAMANDA ULIMBOKA ALIVYOSEMA DAMU YAKE NA IWE CHACHU.

  AMINA
   
 2. T

  Tujumwiche Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  I agree with you. This ight help.
   
 3. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Wazo jema lenye nia njema ya kujikwamua toka tulipo.wananchi waombwe michango midogo midogo kama tsh.2000 au 1000 au 5000 maana hizo ndizo walizonazo,na hakika tunaweza kufanya makubwa ktk sector ya afya.nadhani madrs wapo walichukue kama changamoto nasi kama wadau muhimu tushiriki kwa hali na mali kutimiza kusudi hilo.nami nitakuwa wa kwanza kutimiza wajibu huo wa uchangiaji kadili ninavyojaaliwa.
   
 4. tonnyalmeida

  tonnyalmeida JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Good..
   
 5. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Good and pretty idea!!!!
  Mtu wenu says thanks for this very useful post!
   
 6. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #6
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  nzuri idea yako.
   
 7. O

  Optimisticforchange Member

  #7
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Yeah, nimeipenda idea yako ni constructive. Ila ningependekeza location ya foundation hiyo kwa maana ya hedi kota iwe mambwe pande kwa kumbukumbu zaidi.
   
 8. meeku

  meeku JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 571
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sijasoma yaliyomo lakini nakuunga mkono kwa asilimia 150%. Zaidi itapendeza akirudi SA akute taratibu zimekamilika na sisi wananchi tutachangia kwa hali na mali. Ombi langu kwa madaktari ambao wanaweza kuasisi hilo kwa niaba yake waanze kulifanyia kazi hilo kuanzia kesho. Good mesage.
   
 9. meeku

  meeku JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 571
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  HAKUNA dR HATA MMOJA ANASOMA HAYA MAWAZO WAKAYAFANYIA KAZI? AU KAMA KUNA MWENYE KONTACT NA DR AMBAYE ANAWEZA KULIFANYIA KAZI. TUSAIDIANE KUTEKELEZA HAYA MAWAZO MAZURI KAMA HAYA ILI TUSIISHIE KUPOTEZA MUDA KWENYE JF
   
Loading...