Chadema si mama yangu

SAGANKA

JF-Expert Member
Jun 9, 2012
313
202
Bali ni baba yangu.

Najua akina Nape, ritz, Zomba na the likes ambao wapambanaji mtanisaidia kuwataja, wamekimbilia post hii wakijua labda Dr. Slaa karudisha kadi na kujiunga na magamba.

Eee bwana ni mimi Saganka, nasema CHADEMA si mama yangu bali ni baba yangu maana wababa ndo wapiganaji wakuu wa haki katika jamii kama yetu,ndo maana mikutano ya cdm 80% au zaidi ni vidume.

Baada ya kusoma post hii, magamba hao wameingia mitini.
 
Mkuu,

Si magamba tu wameingia mtini. Magamba wameingia mtini kwa sababu wameona post haina maslahi kwao.

Lakini hata makamanda wengi wameingia mtini. Hawakuingia mtini kwa sababu mbaya. Ila wameingia mtini kwa sababu imebidi washushe silaha kwa sababu wameona post ni ya kirafiki tofauti na silaha zao walizokuwa wamejiandaa kushuhushia.

Mimi binafsi umefanya hoja yangu iingie mitini maana nilitaka kukuambia "hata baba au mama unaweza kuachana nao maana kuna mizozo mingi tu mtu kakosana na baba au mama miaka zaidi ya 20".

Sasa, hoja yangu hiyo haina mshiko maana hakuna tena wa kumgombeza humu.
Hata makamanda wameingia mtini
 
Munkari nilikujanayo dah! Mpaka nimejionea haya mwenyewe. Mkuu thanks for this very useful post
 
Una akili sana! MAANA BABAAKO HUNA AHAKIKA NAYE KWANI UNAAMBIWA TU NA MAMAAKO, ANAWEZA KUKWAMBIA YEYOTE ATAKAYE YEYE, LAKINI MAMA NI NGUMU SANA KUMCHAKACHUA MAMA, LABDA ITOKEE MADAKTARI WACHEZE HOSPITALI , LAKINI BABA.....KWANZA MIE NDO BABAAKO, KAMA MAMAAKO HAJAKWAMBIA ANAONA AIBU TU
 
Chadema ninavokupenda nitakunywa sumu juu yako...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kwel umenusurika kpgo wewe si wajua jf bunge letu cdm ndyo 95% wengne pamoja na ccm 5% hivyo hoja yako icngepta.
 
Bali ni baba yangu.

Najua akina Nape, ritz, Zomba na the likes ambao wapambanaji mtanisaidia kuwataja, wamekimbilia post hii wakijua labda Dr. Slaa karudisha kadi na kujiunga na magamba.

Eee bwana ni mimi Saganka, nasema CHADEMA si mama yangu bali ni baba yangu maana wababa ndo wapiganaji wakuu wa haki katika jamii kama yetu,ndo maana mikutano ya cdm 80% au zaidi ni vidume.

Baada ya kusoma post hii, magamba hao wameingia mitini.

Mkuu SAGANKA angalia usije ukawa na vimelea vya ubaguzi wa kijinsia!
 
Last edited by a moderator:
Una akili sana! MAANA BABAAKO HUNA AHAKIKA NAYE KWANI UNAAMBIWA TU NA MAMAAKO, ANAWEZA KUKWAMBIA YEYOTE ATAKAYE YEYE, LAKINI MAMA NI NGUMU SANA KUMCHAKACHUA MAMA, LABDA ITOKEE MADAKTARI WACHEZE HOSPITALI , LAKINI BABA.....KWANZA MIE NDO BABAAKO, KAMA MAMAAKO HAJAKWAMBIA ANAONA AIBU TU
Namaanisha biological father,na si baba ambae nimeonyeshwa na mama,mama anaweza akanionyesha kwamba huyu ndie baba yako lakini kama sie basi anajidanganya tu.Baba haiji kwa kuonyeshwa bali kwa michakato ya kibailojia.Upo hapo Mark 11
 
Mkuu SAGANKA angalia usije ukawa na vimelea vya ubaguzi wa kijinsia!
Samahani mkuu,ni hasira tu baada ya kuona akina mama wengi bado wameshikilia magamba.Otherwise I respect women,and this is because my mother is a woman,and that will help.Umenisamehe mkuu?
 
Back
Top Bottom