JK amegoma kuhutubia Wazee wa Dar? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK amegoma kuhutubia Wazee wa Dar?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zipuwawa, Jun 30, 2012.

 1. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Tuka nipate taarifa kupitia vyombo vya habari kama ITV kuwa Rais atahutubia Taifa leo hadi muda huu yupo kimya na hakuna taarifa zozote. Je huu si ubabaishaji mwingine? kwa watanzania kudanganywa na Rais au waliotoa taarifa hizi hawakuwa na taarifa kamili?
  Au lengo ni taarifa zitolewe usiku Watanzania wengi wakiwa wamelala?
   
 2. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,846
  Trophy Points: 280
  na yeye kagoma........
   
 3. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Duuuuuuuuuuuuuuu
   
 4. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Dhaifuuu!
   
 5. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Wito na kauli ya Dr. Ulimboka imemmaliza nguvu.
   
 6. skendo

  skendo JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  da!2mepotezewa mda so kmvp kesho watanzania tukavifungulie kesi vyombo vya habari kwa ku2potezea mda we2.haaaaaa!DHaIfu
   
 7. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Hii nchi sasa inazidi kuzama hadi mambo muhimu watu wanayafanyia mchezo? Swala la Rais kuhutubia Taifa kwanini Ikulu watoe taarifa kwa nyombo vya habari na kukaa kimya hadi muda huu? Udhaifu mwingine huu
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  akigoma tunaagiza rais kutoka nje ya nchi
   
 9. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  Kesho utasikia kuwa alichotaka kuzungumza kipo mahakamani. Hata Pinda alisema serikali itatoa tamko, kesho yake akasema hawezi kuzungumzia suala lililopo mahakamani
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  mkuu vumilia kusubiri, labda atahutubia kuanzia saa nane usiku huu
   
 11. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Rais mbabaishaji kabisa huyu.
   
 12. F

  FUSO JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,874
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  Wazee wa Dar muda huu washalala wote --umri. sasa sijui atahutubia kina nani.
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  si nitakuwa nshalewa muda huo....nitamuelewa kweli.....hooi leo.....
   
 14. Kizamani

  Kizamani JF-Expert Member

  #14
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamani, mvumilieni! Inabidi ajenge hoja kwelikweli, kwani uongouongo sasa hautakiwi. Inabid atoe majibu kwa mambo yanayolisibu Taifa kwa sasa.
   
 15. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #15
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mpaka muda huu nadhani Rais wetu mpendwa bado yupo kaunta anaagiza mbili tatu. Akitoka hapo anazifunga magogoni, rais mlevi na we mlevi ngoma droo.
  Kwani unategemea nini cha maana kutoka kwa kiongozi dhaifu?
   
 16. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #16
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  ngoja niendelee mpaka saa sita na dk moja kwani itakuwa siku nyingine hiyo si leo
   
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  huyu jamaa ni mtawala tu, mambo ya uongozi na yeye ni mbali mbali
   
 18. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #18
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,102
  Likes Received: 11,254
  Trophy Points: 280
  atahutubia usiku wa manane ambako hakuna wa kumsikia.
   
 19. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #19
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nahisi bado anawatafuta wazee wa kuongea nao.
   
 20. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #20
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hawakosekanagi
   
Loading...