Mheshimiwa rais waeleze ukweli hawa madaktari, ni kweli wana skills za kutosha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mheshimiwa rais waeleze ukweli hawa madaktari, ni kweli wana skills za kutosha?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nakei, Jul 2, 2012.

 1. N

  Nakei Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Muheshimiwa Rais ni kwanini unasita kuwaeleza ukweli madaktari. Madaktari wa Tanzania hawana skills za kulipwa huo mshahara wanaohitaji, tulitegemea wangemtibu Ulimboka hapa hapa nchini ili kuonyesha mfano hata kwa wanasiasa kwamba wanauwezo wa kutibu badala ya kutumia ma milioni kupeleka wagonjwa nje ya nchi. Ninavyoamini mimi ni kwamba unapokuwa na taaluma fulani na kama unaipenda unaweza kujiendeleza wewe mwenyewe na kuwa competent. Madaktari wamejaa kiburi na wanataka kuonyesha kwamba fani yao ni ya muhimu kuliko fani zingine. serikali inautaratibu wake katika masuala ya ajira. Badala ya kuandamana kuhusu pesa tunataka waandamane kuhusu vifaa wanavyohitaji ili tusiwapeleke watanzania nje ya nchi kwa ajili ya matibabu. Tupo tayari kutoa michango kwa ajili ya vifaa vya matibabu tunaomba waviweke wazi. Kwa kweli tumechoka na hizi gharama za kupeleka wagonjwa nje ya nchi. Mbona mnajipigia debe wenyewe, vipi kuhusu manesi?
   
 2. k

  kjesp Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hujui unachoongea wewe, nyamaza kabisa
   
 3. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,011
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Nakei unapelekewa moto kwenye ubongo.Madaktari walisema mojawapo ya madai ni ukpsefu wa vifaa tiba na siyo skills kama wewe unavyojaribu kuwaza kwa kutumia masaburi.Na ndi maana Dr. ULI amepelekwa nje kutokana na ukosefu wa kifaa cha kuchunguza sumu kwenye damu.upo hapo? au unajikomba kwa ****** tu.no firwaga lolo.
   
 4. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Utawezaje kuona hizo skills pasipo na vifaa/madawa?? Hiki ndicho wanachodai hasa, na tunaodhurika ni sisi washabiki wa upuuzi huu. Utawezaje kumpa rubani bajaji halafu utegemee ataweza kuipaisha??
   
 5. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Acha kukurupuka, umejichanganya hata hueleweki
   
 6. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Huyo jamaa nimemshangaa sana yani hata hajui kwa nini Dr.Uli kapelekwa nje, hajui madai ya madaktari.Bure kabisa
   
 7. j

  jigoku JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hili hili li Nakei limetoka wapi tena?mbona halieleweki linataka kusema nini?linasema hawana skills,linasema Uli kapelekwa nje,mara wanasiasa,mara kuchanga,du,kazi kweli kweli,

  Naona ni li HOPELESS MOVING FIGURE.
   
 8. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hawezi kujua ukweli kama hata umaskini wetu haujui unatokana na nini.
   
 9. M

  Mukalabamu Member

  #9
  Jul 2, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  sasa wangemtibuje kama vitendea kazi na vipimo vya msingi hakuna?si ndo maana wanagoma ili hayo yawepo waweze kufanya kazi kwa ufanisi,ni lini mtaacha kutumia viungo vingine kufikiria badala ya ubongo?Uboreshaji wa huduma ya afya unaenda na maslai ya manesi pia
   
 10. C

  Cape city Member

  #10
  Jul 2, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  shame on u! Hujui hata unachokiongea!! Hivi unaifaham dialysis? Wapi unaweza kuifanya kwa uhakika hapo Tz?
   
 11. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160

  Tatizo la AKILI NDOGO KUONGOZA AKILI KUBWA ndio hii lako!!! Unaushabiki wakijinga kama hujui tatizo la madaktari hadi sasa wanadai nini basi wewe unamatatizo
   
 12. N

  Nakei Member

  #12
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Watanzania tusiwe biased kwa kila kitu na kufuata mkumbo. Embu tujadili kwa kina ni kwanini tunapeleka watanzania nje kutibiwa, hivyo vifaa waeleze wazi ni zipi na tujue gharama zake, tunaweza kununua hata kidogo kidogo.
   
 13. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #13
  Jul 2, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  NINASHAKA NAAKILI YAKO HAMNA VIFAA MKUU NA NDIO SABABU WANAGOMA ,NAKUOMBA UFANYE HII HOME WORK KWANINI WATZ JAPO WANA HOSPITALI YA MSAADA YA MOYO HAWAFANYI UPASUAJI PALE NA JE SIWALIWAPELEKA MADACTARI KUSOMEA WAKO WAPI UKWELI NI HUU SASA WALE MADOCTA WALIPORUDI SKILLS ZIPO KICHWANI HAMNA VIFAA BAADHI YAO WALICHUKULIWA NJE YA NCHI NA WENGINE WANAFANYA AS PROFFESSIONAL SIO SPECIALIST WA M OYO,NDUGU USITETE ,PIA HAININGII AKILINI KWAMBA UNASUPPORT ET RAIS AWAAMBIE UKWELI ETI Madaktari wa Tanzania hawana skills za kulipwa huo mshahara wanaohitaji, SIKUBALIANI NA WEWE ,MFANO HAPA TZ ZIPO HSP ZA WAHINDI,WACHINA NA MATAIFA MENGINE KIBAO MBONA HAWAENDI KUTIBIWA HUKO ? HIYO MENTALITY IMEJENGEKA TU .WAPO MADACTARI WANAWEZA SANA ,NA WANAELIMU MSULI SANA NA NDIO SABABU NCHI ZA NJE WANAWAPENDA NAKUWAAJIRI MAMA YANGU MKUBWA NI DOCTA URUSI NA AMESOMA HAPAHAPA TZ NA SASA HIVI AMEPEWA URAIA KABISA ,JE UNAENDELEA KUSEMA HAWANA SKILLS .JINSI WAO WALIVYOJIPATIA U (SIR NA DR NA PROFF) KWAKUIBA IBA MAVYUO UCHWARA NJE NA WAKAFANIKIWA KWA MGONGO NYINYIEM BASI WAKAJIONA WAKO SAWA NA MADACTARI WANADHANI NA WENZAO WAMEIBA ?
   
 14. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #14
  Jul 2, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Hebu mwaga midata hapa!! Mshahara unowafaa madaktari kwa skills zao "fake" ni shillingi ngapi mkuu ? Halafu ulinganishe na mishahara ya wenye "skills" (e.g madereva) kule TRA au ma-first class economists wa BOT.
   
 15. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #15
  Jul 2, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,861
  Trophy Points: 280
  A brain that even dunderhead will need
   
 16. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #16
  Jul 2, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  kweli tz kiboko hospitali za serikali hukuti PANADOL wanakuagizia pakununua,yani zile bima za afya ni za bure yani hata dawa za magonjwa yakawaida tu haman hata mseto hamna kuliko wawape raia utazikuta madukani na wanazitangaza na zinduka wacheni bana hata dawa za watoto za under 5 hupati mi situmiagi hizo hspt kabisa hata bima ya afya haisaidii maana chenye gharama ni dawa sio consultation sasa unapata consultation dawa hupati kwa bima then yanini sasa jamni
   
 17. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #17
  Jul 2, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Nakei nashindwa pia kuelewa unawazungumzia Watanzania wapi?VIONGOZI AU KAJAMBAUZEMBE SIE?watanzania wanajifia bwana wabunge ndio wanatibiwa nje ya nchi bana,ona kama sio msaada mbalimbali nakujulikana je ulimboka kama mtanzania wakawaida angepata wapi $40,000 kweli jiulize.vuta fikra zako watu wahali ya chini wanaoishi nyumba zamakuti siangesubiri kifo tu Nakei .
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #18
  Jul 2, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  BornTown nimependa username yako
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #19
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 25,633
  Likes Received: 16,586
  Trophy Points: 280
  Unaweza ukawa unalipwa kidogo sana,lakini unavitendea kazi vinavyorahisisha kazi yako na kukupa matokea bora na mzuri.Kwa kawaida siyo mshahara tu unaofanya mtu aridhike kufanya kazi na afurahie kazi yake bali mazingira chanya au mazuri yanamfanya mtu asahau yote na afanye kazi kwa kiwango cha juu.
  Angalia hata wafanyakazi wa mashirika ya nje pamoja na mishahara yao kuwa mikubwa kuliko ya serikali lakini wanafanya kazi kama punda wadogo na output yao ni kubwa kuliko mshahara wanao pewa sababu mazingira ya kazi ni mazuri.
  Ningeishauri serikali hivi iweke hivyo vitendea kazi vizuri,ibadilishe mazzingira ya hospitali zetu kuwa bora zaidi hata kwa kuanzia wangeanza na zile za rufaa tu,halafu tuone je hawa wataalamu watagoma?
  Tunawalaumu bure madaktari wetu,jamani tuombe ile Kamati Ya afya na ustawi wa jamii watuambie waliona nini?Na ushauri wao ni nini kwa pande zote mbili?Tujiulize kweli madaktari hawa walikazania mishahara tu?Wanasiasa hawa watuambie kilichoko kwenye mtungi ni maji au maziwa?Wawe serious kwa hili tuache siasa.
  Watanzania wenye elimu kama yangu ambao hawana uelewa mkubwa tujitahidi kusoma magazeti,kujua haki zetu za msingi kikatiba,tusiwe watu wa ndio sababu Rais wetu amesema.
  Mtoto wa Rais akiumwa atapelekwa Apollo,leo wa kwangu na wakwako itabidi tumpeleke MNH ili apate vipimo,bahati nzuri vipimo hivyo havipo na baahati mbaya daktari wa kumsaidia yupo,jibu la haraka nitasema daktari anataka HONGO! Sababu hakuna kipimo tunamlaumu huyohuyo daktari.
  I hate Tanzanians who do not want to think further.............
   
 20. M

  Majala Kimolo JF-Expert Member

  #20
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 344
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Dah! Post nyingine bwana! anyway umeongeza idadi ila nasikitika umekurupuka, kajipange upya
   
Loading...