Gazeti la Chicago Marekani laripoti J.Kikwete kukana serikali kuhusika na kipigo cha Ulimboka

Ta Muganyizi

R I P
Oct 19, 2010
5,361
2,734
Mie nadhaini mambo yako hapa kwetu kumbe watu wana habari na sasa wanaripoti kuwa Kikwete amekana kuwa Serikali haikuhusika na kipigo alichiopokea Dr Ulimboka. Wasiwasi wangu hapa ni kuwa Ukiunganisha suala la Meli za Iran,,, mara uvunjaji wa haki za binadamu kwa kuwakongoli wapigania haki......tunakoelekea sio kuzulu kabisaaa. Misaada itaminywa hadi ARVs kwa wagonjwa wetu na wanaoishi na Virusi vya Ukimwi itakuwa tabu. AISeeeee. Habari kamili : Tanzania president denies doctors' leader torture - chicagotribune.com

Habari hii pia imeripotiwa na Yahoo news. Dunia nzima imeshajua link : http://news.yahoo.com/tanzania-president-denies-doctors-leader-torture-093217922--finance.html

Fumbuka Ng'wanakilala Reuters 4:33 a.m. CDT, July 2, 2012

DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania's President Jakaya Kikwete denied any government involvement in the kidnap and torture of Steven Ulimboka, the leader of a medical group coordinating a doctors' strike, and urged doctors to go back to work.

Ulimboka, chairman of the Medical Association of Tanzania, said he was abducted by gunmen last Tuesday, taken to the outskirts of the commercial capital Dar es Salaam and beaten.

"I am aware that the government is also being named in the list of suspects. I am very shocked by these suspicions ... why would the government want to harm Dr. Ulimboka?" Kikwete said in an address on national television late on Sunday.

The previous Friday Ulimboka had called for a nationwide doctors' strike to demand better pay and working conditions, leaving many patients unattended in state hospitals.

The high cost of living in Tanzania has stoked anti-government sentiment, leading to mounting pressure from public sector workers and others.

Kikwete said the government would not triple the salaries of doctors as demanded by their representatives and warned striking medics to return to work or risk being sacked.

Doctors were demanding a starting monthly salary of 3.5 million Tanzanian shillings ($2,200) plus allowances equivalent to 140 percent of the salary, while the government was prepared to offer them a maximum pay of 1.2 million shillings, he said.

"I urge doctors to end the strike and return to work. Your fellow Tanzanians are suffering and losing their lives," he said.

"We can't promise that we can pay them a starting salary of 3.5 million shillings and all those allowances. If we do that, the total starting pay package for a doctor would be 7.7 million shillings. We definitely can't afford this amount."

Kikwete said the strike was illegal, unethical and not in the best interests of the Tanzanian public.

East Africa's second-biggest economy said it was willing to raise salaries of all public sector workers by 15 to 20 percent in the 2012/13 financial year.

The president said doctors' starting salary at 957,700 shillings, was double the average starting salary of other civil servants, and that public sector pay accounted for 48 percent of the government's total spending.

"This level is too huge. A good ratio is to have a wage bill not exceeding 35 percent of the budget so 65 percent of the budget can be used to finance services and other development projects," he said.

Tanzania's inflation rate fell marginally in May, but still remained in double digits - at similar levels to other countries in the region - at 18.2 percent.

($1 = 1572.0000 Tanzanian shillings)

(Editing by Drazen Jorgic and Louise Ireland)
 
Haya! ukisha one wenye dunia hii wanaanza kuchokora jua unakwenda the huge yani hii lazima! labda auache uchaguzi wa 2015 bila kuuchakachua
 
The government will admit its role when hell freezes over!

Ila daah....yaani wabeba maboksi wana-make kuliko madokta wa Tanzania? That's pathetic.
 
Mie nadhaini mambo yako hapa kwetu kumbe watu wana habari na sasa wanaripoti kuwa Kikwete amekana kuwa Serikali haikuhusika na kipigo alichiopokea Dr Ulimboka. Wasiwasi wangu hapa ni kuwa Ukiunganisha suala la Meli za Iran,,, mara uvunjaji wa haki za binadamu kwa kuwakongoli wapigania haki......tunakoelekea sio kuzulu kabisaaa. Misaada itaminywa hadi ARVs kwa wagonjwa wetu na wanaoishi na Virusi vya Ukimwi itakuwa tabu. AISeeeee. Habari kamili : Tanzania president denies doctors' leader torture - chicagotribune.com

Habari hii pia imeripotiwa na Yahoo news. Dunia nzima imeshajua link : Tanzania president denies doctors' leader torture - Yahoo! News

Fumbuka Ng'wanakilala Reuters 4:33 a.m. CDT, July 2, 2012

DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania's President Jakaya Kikwete denied any government involvement in the kidnap and torture of Steven Ulimboka, the leader of a medical group coordinating a doctors' strike, and urged doctors to go back to work.

Ulimboka, chairman of the Medical Association of Tanzania, said he was abducted by gunmen last Tuesday, taken to the outskirts of the commercial capital Dar es Salaam and beaten.

"I am aware that the government is also being named in the list of suspects. I am very shocked by these suspicions ... why would the government want to harm Dr. Ulimboka?" Kikwete said in an address on national television late on Sunday.

The previous Friday Ulimboka had called for a nationwide doctors' strike to demand better pay and working conditions, leaving many patients unattended in state hospitals.

The high cost of living in Tanzania has stoked anti-government sentiment, leading to mounting pressure from public sector workers and others.

Kikwete said the government would not triple the salaries of doctors as demanded by their representatives and warned striking medics to return to work or risk being sacked.

Doctors were demanding a starting monthly salary of 3.5 million Tanzanian shillings ($2,200) plus allowances equivalent to 140 percent of the salary, while the government was prepared to offer them a maximum pay of 1.2 million shillings, he said.

"I urge doctors to end the strike and return to work. Your fellow Tanzanians are suffering and losing their lives," he said.

"We can't promise that we can pay them a starting salary of 3.5 million shillings and all those allowances. If we do that, the total starting pay package for a doctor would be 7.7 million shillings. We definitely can't afford this amount."

Kikwete said the strike was illegal, unethical and not in the best interests of the Tanzanian public.

East Africa's second-biggest economy said it was willing to raise salaries of all public sector workers by 15 to 20 percent in the 2012/13 financial year.

The president said doctors' starting salary at 957,700 shillings, was double the average starting salary of other civil servants, and that public sector pay accounted for 48 percent of the government's total spending.

"This level is too huge. A good ratio is to have a wage bill not exceeding 35 percent of the budget so 65 percent of the budget can be used to finance services and other development projects," he said.

Tanzania's inflation rate fell marginally in May, but still remained in double digits - at similar levels to other countries in the region - at 18.2 percent.

($1 = 1572.0000 Tanzanian shillings)

(Editing by Drazen Jorgic and Louise Ireland)

No secret nowadays, if we cant speak for ourselves someone out there courageous enough will do it, freedom is a must.
 
Hii ya kidnap and torture wamarekani wanaweza kuifumbia macho. Lakini hiyo ku re-name and re-flagging Iranian Tankers. JK asicheze Wamarekani wanaweza kumchukua kama Noriega au kama watamuhurumia basi wanaweza kumsubiri amalize term yake then wampelekea The Hague! Au meli zote zenye flags Ya Tanzania zitaanza kuwa bombed na sub marines za USA. JK please watch out hawa Wazanzibari watakuingiza kwenye un necessary conflict and the SUPER POWER OF THIS WORLD.
 
Mie naomba Ocampo aje kufanya uchunguzi wa kuhusu Dr. Ulimboka ndio tutakapojua mbivu na mbichi!

Ila dhaifu na liwalo na liwe wajiandae soon kujibu tuhuma za unyanyasaji wa haki za binadamu, kutumia madaraka vibaya kwa Ocampo.
 
the world is so small these days...the failed murder plot in pande forest,tegeta,..washington is watching closely
 
Wazenj wanataka watukomeshe ili tuache kuwag'ang'ania.....Muungano hawataki. Sasa ngoja tuone.
 
Mie naomba Ocampo aje kufanya uchunguzi wa kuhusu Dr. Ulimboka ndio tutakapojua mbivu na mbichi!

Ila dhaifu na liwalo na liwe wajiandae soon kujibu tuhuma za unyanyasaji wa haki za binadamu, kutumia madaraka vibaya kwa Ocampo.

Ocampo kisha staafu, yupo Mgambia Fatou B.
 
naona wakubwa washaanzisha choko choko dhidi ya DHAIFU na regime yake...na anavyopenda kwenda kubembea sijui atachomokea wapi...all in all lazima wata M-SUCK tu hawawezi kumuacha hivi hivi
 
Mie naomba Ocampo aje kufanya uchunguzi wa kuhusu Dr. Ulimboka ndio tutakapojua mbivu na mbichi!

Ila dhaifu na liwalo na liwe wajiandae soon kujibu tuhuma za unyanyasaji wa haki za binadamu, kutumia madaraka vibaya kwa Ocampo.

sisi wenyewe ni ma ocampo ila hatujajijua tu muda si mrefu watu tutapasuana..
 
Niliposkia 3.5ml nikajua pesa kibaoo... kumbe $2200. tuu,...Shwain kabisa ongezeni hiyo pesa bana ni ndogo mno kwa mtu aliesota darasani miaka zaidi ya 18 mpaka 20.
 
the world is so small these days...the failed murder plot in pande forest,tegeta,..washington is watching closely

Nyabingi, you've reminded me those days when I was a student at UD when BBC used to be a reliable source (home news) ie. news from Tanzania than any other media in the country!
 
Back
Top Bottom