Upotoshaji wa makusudi unaofanywa kwenye vyombo vya habari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upotoshaji wa makusudi unaofanywa kwenye vyombo vya habari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jaffary, Jul 2, 2012.

 1. Jaffary

  Jaffary JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 758
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Ninasikitika kwa kuwepo kwa taarifa za kuchanganya juu ya usitishwaji wa mgomo wa madaktari.Baadhi ya vyombo vya habari mfano EATV walisema madaktari bingwa wamegoma, sijakaa sawa TBC nkasikia huduma MNH zimetengamaa sijatulia vizuri jf kuna thread kwamba specialist wamegoma hapo hapo kuna thread press release inayoonyesha excellent attendence ya madaktar leo! SASA NAOMBA TUPEWE taarifa sahihi
   
 2. Dr Klinton

  Dr Klinton Senior Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  serikali wanatapatapa kama ,wanzo walivyokuwa wakisema kuwa mgomo hakuna lakini baadae wakaja kukiri kuwa mgomo upo ndivyo wanavyofanya sasa ungeangalia itv na ch ten
  Tbc sio tv
   
 3. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  itv,star tv,eatv,vs tbc
  amua mwenyewe
   
 4. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Taarifa ipi inakuvutia wewe na ambayo utaipenda?
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,496
  Likes Received: 81,820
  Trophy Points: 280
  Kuna propaganda kali sana zinazofanywa na Serikali ili kuwazuga madaktari, naomba ukae ukijua hilo. Mgomo kama umekwisha au la basi ukweli utadhihiri siku chache zijazo.
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  serikali inalet propaganda za kizamani mno! Madaktari wamegoma tena specialist wanasema waanze kufukuzwa wao! Serikali ina neutralise makali ya mgomo
   
 7. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  waelewa wanatafuta right news
   
 8. Tumaini Makene

  Tumaini Makene Verified User

  #8
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 2,617
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Unajua vitu vingine bwana, kupotezeana muda tu. Kuna vitu vya kuuluza na kuuliza. Kweli mtu amekakamaa na remote mkononi, anaangalia TBC huku akitegemea itampatia au kukidhi matarajio na matamanio anayoyataka...eti baadae pia anatoka hadharani mbele za watu kulalamika. Kuwa kama Arusha, walishapiga marufuku. Huko hawana watu kabisa, labda Monduli kidogo jirani na kwa yule jamaa (na kwake pia). Lakini naye nasikia hawaamini sana, mambo yake mengi huenda Channel Ten.

  Doing the same thing, the same way, kila siku, kisha utegemee matokeo mengine, sijui tuite ni kitu gani.

  Mkuu unayeangalia TBC kisha unakuja kulalamika hadharani kazana, ongeza na bili ya Uhuru na Mzalendo kila Jumapili.

  Kamanda mwanzisha thread, pole, maana wakati mwingine ni vyema kuambiwa ukweli kwa namna mbaya ili mtu achukue hatua chanya, kumsaidia na kusaidia wengine.

  Iko siku wananci wenye akili wataandamana kudai haki na stahili zao TBC maana wanatumia fedha za walipa kodi kinyume kabisa na wanavyopaswa kuwajibika. Time will tell, ingawa ofcoz wengine tunajua walishaanza ku-feel the pains, kitambo, wanachofanya ni kuendelea kushikilia tawi la mti unaoanguka.
   
 9. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  NI UPEPO TU UTAPITA, kisha JOSEPHAT JOSEPH tukasikia DHAIFU kisha LIWALO NA LIWE na sasa UNAWASHWAWASHWA.
   
 10. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  Nini Maana ya Jamii Forums? Ni Mkusanyiko wa watu wenye Hekima na Mawazo tofauti ambao wanapata Hoja

  Mbalimbali ziwe za ukweli au za kiupendeleo either kunufaisha Serikali au Chama Tawala ua Chama Pinzani na

  Waandishi wa Habari au Watoa Hoja Mbalimbali au Wanasiasa wachangiaji Hoja - Kazi yetu ni Kujadili Hoja

  au Habari hizo kwa kupinga au kukubali kwa Hekima na sio kila mara kupata Hoja/Habari unajua 1 + 1 = 2
   
 11. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  tbccm ni dhaifu kama dhaifu mkuu
   
 12. B

  BigMan JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  kusema kweli nimefuatilia katika hospitali zote za rufaa za mikoa hali ni shwari kabisa mfano kcmc wale walioandikiwa barua za kurudishwa wizarani walienda kumpigia magoti mkurugenzi wa hospitali hiyo kwa upande wa hospitali za wilaya katika wilaya hamsini nilizofuatilia ni kama vile hawajuhi kama kuna mgomo unaoendelea hapa nchini
   
 13. Mbutunanga

  Mbutunanga Senior Member

  #13
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 183
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tatizo la serikali huwa lina plan A tu, hata mazingira ya plan A yakibadiliika wao wanaendelea na plan A tu, utafikiria hawana akili. Yaani tangu ijimaa unaambiwa over the weekend toeni tangazo la kuwa mpaka jtatu saa mbili asubuhi wasiosaini watajifukuzisha kazi na baada ya hotuba kali ya rais lazima kutakuwa na waoga watakaoenda kusaini kinyemela. Then asubuhi jtatu tutatoa tangazo based na wale watakaosaini hata kama hawatafanya kazi ( sasa hapa hawakuweka plan B ya kuwa je kama hii ikiwaongezea hasira zaidi na kugoma wote je wafanyeje?). Umeona madaktari bingwa wamesema nao wamegoma, weye bado unaendelea na plan A, kwa nini usimtaarifu aliyekuagiza kuwa utaonekana kituko ukiwndelea na hiyo plan? Au simu zao zilikuwa hazipatikani au hawapokei maana huwa ni one sided?learn to have plan A to Z.
   
 14. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,948
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  Tbc ni propaganda machinery ya Magamba
   
 15. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,906
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwa hiyo according to you habari za kweli daima ni zile zinazoipinga CCM na serikali yake?
   
 16. Jaffary

  Jaffary JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 758
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Issue ya msingi hapa ni kwa nini TBC wanawadanganya wananchi kwamba MNH huduma zimeimarika mwisho wa siku mtu atafanya safari kutoka mbali kwa ku-rely news ya tbc na kukuta hamna huduma, sasa hawa TBC watarudisha gharama? Tuache ushabiki kwenye mambo mazito na yanayomgusa moja kwa moja mwananchi tena yule wa chini kabisa!
   
 17. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Tumaini Makene.
  Mbona ueleweki unatokwa na povu tu unalalamika bila data wote tumeona wagonjwa wanahojiwa muhimbili na tumesikia Dr akihojiwa...yaani wewe unataka Watanzania wote tuamini habari za Tanzania Daima? Wewe mwenyewe uaminiki ulileta umbeya humu JF na habari zako za vijiweni eti mbunge kafumaniwa kakatwa mapanga yupo hospital hoi...mtu kama wewe nani atakuamini badala ya kuleta habari unaleta ushabiki.
   
 18. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Ni kweli upepo utapita. Lakini utakuwa umetuacha vipi baada ya kupita? Usije ukaondoka na paa la nyumba yetu maana tutalala nje. Usije ukatuvua nguo ukatuacha uchi! Tafakari.
   
 19. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #19
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,684
  Likes Received: 641
  Trophy Points: 280
  Miundo ya vyama vyetu vya siasa inafanana.
  Hiyo poa, hata makatibu waenezi nao wawe na sifa zinazofanana?
  Gzuz!!!
   
Loading...