Bungeni: Sugu awachana wabunge Vijana wa CCM na kawahusisha na utekaji wa Dr. Ulimboka

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Awambia anawasha ngaa kumpongeza raisi kuteuwa ma DC

Aanza na Dr Olimboka na amesema ni namna ya CCM kuendesha nchi awafanananisha na Janjawidi iweje au ni watu gani walio na bunduki kwenda kumkamata Olimboka kama sio askari???
Akapigwa stop wakadai kesi iko mahakamani na ameombwa athibitishe kauli yake kuwa serikali ni janjaweed toka kwa Mery Nagu.

Anakalishwa chini, Lissu anaomba mwongozo anakataliwa.

Sugu anatakiwa kutoa ushahidi na mwenyekiti wa bunge.

Sugu anawambia iweje watu wawe na siraha kama sio Janjaweed ni kina nani?

Anaendelea

Anasema wakati anakwenda Dar vijana wa kitaa wakamsimamisha wakmpeleka kwa mkuu kwa jinsi alivyojenga kwao ni kama kijiji na akajoji kavitoa wapi???? Hadi uwanja wa ndege utajengwa na akahoji vipi mbona haulizwi kazipata wapi?

UPDATE
LISSU anapewa nafasi anawafundisha kanuni na taratibu
Anawambia ilitakiwa Marry Nagu athibitishe kwanza kuwa Sugu anadanganya bunge ila cha ajabu mwenyekiti anamkatalia anamwambia anapotosha umma kaipindisha kanuni

Mnyika;

Adhihirisha udhaifu wa rais

Awambia madaktari na walimu wanajeuri ya kugoma ila askari wanaogopa ila kitendo cha Waethiopia kufia Dodoma ni dalili ya askari kuchoka.
 
alaani wabunge wa ccm kumpongeza raisi kwa majukumu yake.asema serikali inahusika na kupigwa na kuteswa kwa dr. Ulimboka. Afaninisha kikwete na All-bashiri.
 
aambiwa atoe ufafanuzi kufananisha serikali na janjaweed kunawaka moto sasa live.
 
hawana sera magamba! siku ya kifo cha dhaifu sijui nitakwenda bar gani kunywa! kha! labda nitangulie mimi, lakini akianza yeye ni sherehe tu siku hiyo!
 
Anamtuhumu rais, katoa mfn. wa al bashir na janja weed, mwenyekiti anamtaka sugu akane kauli. Mgogoro unatokea kati ya mwenyekiti sugu, tundu lissu. Ngoma inogile. Anataka iundwe tume huru ya uchunguzi.
 
Back
Top Bottom