Dr Kigwangwalla una kauli gani juu ya kauli ya Eng. Manyanya?

John W. Mlacha

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
3,504
1,341
Stella manyanya leo kamfananisha dr ulimboka na hitler.. Maana yake ni kuwa kawafananisha madaktari wote na hitler (wauaji) . Kingwa una kauli gani juu ya hili?
Asante. Naomba wachangiaji msitukane wala kuweka matusi kama una matusi ni heri usichangie .
 
Namheshimu sana Mama RC...naomba nisiseme kitu!

Usiri wenu ndo unaitafuna nchi yetu, hivi kwa akili yako unafikili ukikaa kimya ndo utaonekana mungwaaaaaaaana. Ndo mana sina imani na gamba lolote hata liwe la mtoto wa mende
 
​dr lugha yako si ya kimapinduzi heshima na ukweli ni vitu viwili tofauti sema tu kachemka
 
Ukiwa CCM kusema ukweli huwa ni vigumu sana,hata kama kitu kiko wazi.
 
"Wasomi", "ma-Eng" (kama kweli wamepata usomi au u-eng huo kwa njia halali) wanakatisha tamaa. Sasa kama wao wanafikiri hivi kimgandomgando, je wale akina profesa majimarefu watafikirije? Na huyu huyu ndiye amepewa dhamana ya u-RC- f.u.c.k.i.n:redface:
 
dr. Kigwa. Funguka acha uoga. Ukweli unakuweka kuwa huru ndugu yangu. Kipi unachoogopa sasa?

sidhani kama kuna mtanzania mwenye akili timamu atashangilia kilichompata dr ulimboka. Mh. Manyanya kapoteza sifa ya kuwa mbunge. Hivi aking"olewa jino lake moja kwa praizi bila hata ganzi atahudhuria hilo bunge??? Kwa maneno mengine hivi huyu mama hana extended family inayotibiwa tanzania manake yeye anatibiwa nje ya nchi hivyo hawezi kuwa na uchungu wa hali ngumu na hatarishi madakatari wanayofanyia kazi. Kiukweli huu ni unafiki, udikiteta na unyanyasaji anaouwakilisha wa kundi lake zima
 
mheshmiwa usiogope kufunguka ukihofia kua ukimpinga utawekwa kikao kwenye chama..simamia ukweli
Mbona ameeleweka tu, ni kwamba amekiri kuwa kachemka ila yeye hawezi kusema hilo (kumuumbua) kwa kuwa anamheshimu huyo mama.
 
Namheshimu sana Mama RC...naomba nisiseme kitu!

Huna lolote.
Yeye angekuwa na anajiheshimu asingemuita Uli ni Hitler.
Kuna mchangiaji mmoja amehoji ktk post moja kuwa je Mzazi wa Ulimboka anamchukuliaje Eng: Manyanya kwa kumfananisha mwanawe na Adolf Hitler?

Usijishaue kujibu kwa mkato ili mradi uonekane umejibu, sisi tunataka maelezo yako ya kina kuhusu swala hili.
Hakuna tena muda wa kuheshimu wasiojiheshimu.

Manca del testo...
 
Nayapinga kwa Akili na nguvu zote aliyotendewa Dr Ulimboka Lkn huyu mzazi anayachukulia vipi yaliyowapata wagonjwa kwenye mahospitali yote Nchini kutokana na migomo ya madaktari chini ya uongozi wa mwanae?
 
Ni mzazi mpumbavu asiye na utimamu kichwani ndie anayeweza kuwalaumu madaktari na kutounga mkono mgomo huu.

Sakata la Mgomo wa madaktari si la jana wala juzi. Sakata hili nadhani ni la zaidi ya miezi mitano sasa na Serikali kama ingekuwa makini na mgomo huu basi wangekuwa wameshapata japo ufumbuzi kwa asilimia hata 35 au 40 wa yale mapendekezo ya madaktari, lakini kwa kuwa Serikali yetu ni genge la watu dhaifu ndio maana wanakuja na uongo kila kukicha na nyie wakurupukaji mnatekwa na kuwaamini.

Ishu ni kuwa hospitali zina hali mbaya, hakuna vifaa vya kufanyia kazi, hakuna madawa, mazingira ni hatarishi zaidi.

Leo hii wagonjwa wanalala chini, au wanaolala kitandani either wawe zaidi ya wawili, msongamano wa wagonjwa ni mkubwa kutokana na kukosa vivaa vya kuwapima na hata kuwapatia huduma...
halafu all in all serikali wakija kwenye Media wanazungumzia swala la mishahara tu.

Nenda hospitali za serikali utaona kinyaa kwa jinsi zilivyo na mazingira mabovu na machafu, then madokta wao ndio wanaoshinda na kukesha kwenye mazingira yale, na wao ndio wanaoyapigia kelele mazingira yale yaboleshwe, lakini serikali wao wakija kwenye Media wanaleta porojo za mishahara...

Puuumbav...
Sasa hapo utawalaumu madokta?
 
Kutukana siyo tija,Kama ulivyoanisha kwamba sakata la mgomo si la jana wala juzi, sasa tokea wameanza kugoma ndiyo serikali imetimiza yale ambayo wameyaanisha kuhusu vitendea kazi duni? Je migomo yao ndiyo imebweresha huduma za wagonjwa au imeathiri zaidi wagonjwa?
 
Back
Top Bottom