Nchimbi: Tujuzane kuhusu uwekezaji katika elimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchimbi: Tujuzane kuhusu uwekezaji katika elimu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nicholas, Jul 3, 2012.

 1. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,354
  Trophy Points: 280
  Wakati kuwekeza katika elimu ni kuzuri kwa taifa bado uhalali wa mtaji unaweza kuwa questioned.Wana JF tujuzane kuhusu uwekezaji katika elimu wa Mh.Nchimbi na uhalali wa Mtaji wake.Shule kubwa alizonazo chini ya kivuli cha vibaraka wake.Mojawapo ni ya dodoma yenye jina la mpigania haki mkubwa wa kimarekani
   
Loading...