Wana jf,pametokea vurugu kupelekea barabara ielekeyo malawi, eneo la Tukuyu kufungwa kwa muda na wananchi baada ya wafanyakazi wa TRA kutaka kukamata gari ya mkazi mmoja hapa Tukuyu,alieamua...
Ukifuatilia mijadala inayoendelea pale mjengoni utagundua kuwa kuna baadhi yao hasa wale wa magamba uchangiaji wao unatokana na homa za vipindi na si kusukumwa na kile wanachokiana ktk ile bajeti...
Naomba wanaofahamu wanijuze. Mimi nimezoea kuona mtu anaomba mwongo au taarifa anawasha mic na kusema mwongozo wa spika au taarifa. Lakini kwa sasa naona kama mtu unatakiwa usimame hadi spika au...
muda huu wa saa sita na dkk 50 mbunge wa iramba mh. Nchemba amemshika pabay mh. Mnyika bungeni. Nchemba baada ya kuchangia ktk wizara ya maji, amemkumbusha mwenyekiti wa bunge mama mhagama kuwa...
Wakuu Salama?
Kuna suala leo limenitatiza sana ingawa limekuwa likijotekeza mara kwa mara katika mazingira fulani fulani
Habari kubwa kwenye magazeti almost yote ya leo ni Juu ya Katibu Mkuu wa...
..jamani tukisema Zanzibar wanatunyonya Tanganyika mnadai tunachonga sana.
..lakini kuna bil 4 zimetengwa kwa ajili ya Makamu wa Raisi, wanasema kwa matumizi "yake" ya kawaida.
..huyu ndiye...
Hivi ni lini ccm watajifunza siasa sitahimilivu, siasa safi, siasa bora na siasa zenye kupingana kwa hoja? Tufike mahali tukue,tupanuke kimawazo na tukomae kifikra..tanzania ni yetu sote.
Jeshi la Polisi ni jeshi linalolinda usalama wa raia na mali zake, na ieleweke kuwa dhamana waliopewa inatokana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Inapotokea raia mmoja anaona maisha...
Najiuliza sana hivi ni ,kweli wabunge wa CCM wote wanaitetea serikali kwa dhati? Hawayaoni ambayo serikali inachemsha sana. Na hawasomi dalili zozote zile mbele? Bora mbunge wangu huwa anapiga...
KILA KONA YA JIJI LA DAR ES SALAAM, ni uchafu, uvundo na harufu mbaya...je tumekosa ubunifu ni jinsi gani tunaweza kutatua tatizo hili? je ni uzembe wa viongozi wetu au? mbona kuna vikao vingi...
Wana JF nimefurahia sana majibu ya Dr. Slaa kwa polisi
1. Chadema hawana imani na jeshi ya police
2. Polisi waseme kwa nini mara zote wapinzani wanapolalamika polisi hawapatiwi majibu i.ekupigwa...
Katika taarifa za leo magazetini nimeona kuwa madaktari wamefukuzwa, lakini niliposoma kwa umakini kumbe ni madaktari ambao wapo hospitalini kujifunza kwa vitendo. Na ndio hao waliofukuzwa...
wakuu mliopo Dodoma tulizoea sherehe baada ya kupitisha bajeti miaka ya nyuma na huwa sherehe wanafanyia dodoma Hotel tena ilikuwa kila wizara vipi bado wanafanya sherehe baada ya kupitisha...
Profesa maghembe waziri wa maji alisema bungeni jana wakati muafaka umefika kwa wizara yake kuanzisha tan-water.. Kwa ajili ya kurahisisha, kuharakisha usambazaji na utekelezaji wa miradi ya...
Bonyeza vidio no 1
Video – UMUHIMU WA KUWA NA NCHI NA KUIPENDA – UAMSHO MFENESINI | Mzalendo.net
Bonyeza no 2
Video – UMUHIMU WA KUWA NA NCHI NA KUIPENDA – UAMSHO...
Kwa mtazamo wangu, kwa kitendo kilichofanywa na kamati kuu ya chadema kuondoa kipengele cha kampeini katika uchaguzi ndani ya chama hicho, kikilenga kuondoa au kupunguza tatizo la rushwa hapa...
Barney Frank awa mbunge wa kwanza kufunga ndoa ya jinsia moja Massachusetts-Marekani
Pich ani ni mbunge wa Massachusetts Barney Frank (kulia) na mke wake Jim Ready
Tumeshuhudia mateso makali na ya kinyama aliyofanyiwa Dr Ulimboka, alitekwa akapigwa kwanza ndani ya gari na baadaye katika Msitu wa Pande, ambako ndiko alikokutwa asubuhi akiwa hoi bin taaban...