Jiji la dar es salaam kuwa chafu tatizo nini?

kajumula.

Member
Jun 29, 2012
34
0
KILA KONA YA JIJI LA DAR ES SALAAM, ni uchafu, uvundo na harufu mbaya...je tumekosa ubunifu ni jinsi gani tunaweza kutatua tatizo hili? je ni uzembe wa viongozi wetu au? mbona kuna vikao vingi vinafanyika ndani ya jiji na manispaa... inamaana tatizo la uchafu kwa dar huwa alizungumziwi? je wamelizika sana kiasi hicho? je nasisi kama wanajamii husika tufanyeje?
 
Magari ya kuzolea mataka hamna na hata yakiwepo yanatumika kwa kazi binafsi ,halafu wakazi wenyewe ni wa lolote na liwe hawajali ,na hawa wakuu wa jiji nao ni wababaishaji tu ,maana watu kila pembe wanalipa kodi ,na ipo kodi ya usafi ,hela haijulikani inaenda wapi ! Watu wanatumia risiti feki japo zimefanana !
 
Back
Top Bottom