Nani kaya ya hawa aliyegoma? INTERNS, DOKTA au Serikali? nani alitakiwa kufukuzwa?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Katika taarifa za leo magazetini nimeona kuwa madaktari wamefukuzwa, lakini niliposoma kwa umakini kumbe ni madaktari ambao wapo hospitalini kujifunza kwa vitendo. Na ndio hao waliofukuzwa.

Nauliza wadau kati ya Daktari na intern ni nani hasa aliyetakiwa kufukuzwa?

Kwa sababu interns hawana ruhusa ya kutibu isipokuwa kwa idhini ya supervisor au daktari.

Na kama ndio ivyo kama boss wako kagoma wewe msaidizi wake utafanya nini na huna mamlaka ya kutoa huduma?

Mie nadhani walio stahiri kufutwa kazi ni madaktari kamili sio hawa wanaofanya kazi kwa mgongo wa daktari aliyemwambia sifanyi kazi.
 
aliyefanya maamuzi amepotoshwa, hahahhahahaha hahhahahaa harafu akapotoka hahaha teh teh teh teh
 
je unajua chanzo cha mgomo wa madaktari kilianzia wapi? source ilianzia kwa interns wakati wakijua hawaajiriwa
 
Back
Top Bottom