Utaratibu wa sherehe baada ya bajeti ya wizara bado upo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utaratibu wa sherehe baada ya bajeti ya wizara bado upo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Arvin sloane, Jul 11, 2012.

 1. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  wakuu mliopo Dodoma tulizoea sherehe baada ya kupitisha bajeti miaka ya nyuma na huwa sherehe wanafanyia dodoma Hotel tena ilikuwa kila wizara vipi bado wanafanya sherehe baada ya kupitisha bajeti? ili tufuatilie hilo fungu wanalitoa wapi au bado wanachangisha kama Jairo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...