Mhe, Maghembe amependekeza kuanzishwa kwa tan-water kama ilivyo Tanroads... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhe, Maghembe amependekeza kuanzishwa kwa tan-water kama ilivyo Tanroads...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sir.JAPHET, Jul 11, 2012.

 1. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Profesa maghembe waziri wa maji alisema bungeni jana wakati muafaka umefika kwa wizara yake kuanzisha tan-water.. Kwa ajili ya kurahisisha, kuharakisha usambazaji na utekelezaji wa miradi ya maji.. Visima, na mabwawa.. kama ilivyo tanroads hasa kwa kuzingatia majukumu ya tanroads, mchango wake na umuhimu wake katika wizara ya ujenzi.. Naunga mkono hoja asilimia101% .. Tanwater itatusaidia kuondoa kero za maji mijin na vijijin kwa sehemu..
   
 2. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  pale juu ni TANROADS sio tanaroads.. Tafadhali
   
 3. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Magimbi ni zao ambalo halifahamiki sana na halina nafasi kubwa sana katika mazao. Ni nadra sana kupata faida kutokana na biashara ya magimbi. Gimbi haliuziki wakuu
   
 4. i

  iMind JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,907
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Ni wazo zuri.
   
 5. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Yani Prof ndo uwezo wake wa kufikiria umeishia hapo kwani izo MAMLAKA za maji (SHUWASA,MUWASA,KASHWASA,DAWASA,DAWASCO,MTWAWASA,MOSHI WASA, ARUSHA WASA, MBEYA WASA) zilizotapakaa nchi nzima kazi yake ni nini? au ndio kujitengenezea mazingira ya kuiba kodi zetu jamani kweli hawa watu ni DHAIFU.
   
 6. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ni wazo zuri na jema linajadirika na kutekelezeka
   
 7. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Haiwezekani, tuna mamlaka za maji nyingi kila sehemu, ufanisi wake ukoje, mbona ni karibu 10% efficiency? Kwa nini hazifanyi vizuri, aseme tu kuwa kaona ndo sehemu ya kuchomokea huko na bajeti yake pia kaona ndo sehemu ya kutafunia pesa kwa mgongo wa jina jipya!!
   
 8. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #8
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,244
  Trophy Points: 280
  Hizo ni mamlaka za mjini!sasa vijijini ndo tanwater itaongoza na hizi zamijini nadhani zitafutwa!
   
 9. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #9
  Jul 11, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Mwaka huu tuta anzisha hadi TAN-ELIMU, TAN-KILIMO, TAN-UMASIKINI, TAN- POLISI,\

  KIla mtu akishindwa majukumu yake tutaenda kuanzisha TAN-....
   
 10. F

  FJM JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Prof Maghembe angepelekwa Ujenzi sasa hivi pamoja hata hiyo TANROADS ingekufa. Huyu Prof sijui alipataje u-prof wake, maana hana la maana alilofanya tangu aingie kwenye executive. Hata wangeanzisha TANWATER 10, chini ya Prof Maghembe ni kupoteza kodi ya walalahoi.
   
 11. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #11
  Jul 11, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  tumpe mudaa, amekaa bungeni huu ni mwaka wa saba na uwazir.. Amekuwa mbunge tangu 2000, labda tumuongeze miaka 3, ijayo he must do sumthing
   
 12. Kapo Jr

  Kapo Jr JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 935
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 60
  labda muda wa resign hana lolote mharibifu kwenye elimu aliharibu mitaala,napata shaka na u-profesa wake
   
 13. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #13
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Aisee umesema kweli......halafu yanamea sana kwenye majitaka

  [​IMG]

  Labda uwe YANGA au CCM ndio utanunua

  [​IMG]
   
Loading...