Je kama mbunge ni kuonyesha ubabe tutafika?

kajumula.

Member
Jun 29, 2012
34
0
Hivi ni lini ccm watajifunza siasa sitahimilivu, siasa safi, siasa bora na siasa zenye kupingana kwa hoja? Tufike mahali tukue,tupanuke kimawazo na tukomae kifikra..tanzania ni yetu sote.
 
Nani alikwambia Tanzania ni yetu sote ? Hii Inchi ina wenyewe !
 
Which is which? mbona umetuingiza kwenye kichwa chako? funguka jombaaaa
 
Je pia kuwa Kiongozi ndani ya Bunge kunakupa nafasi ya kuwa mbabe, mwenye kiburi na kutaka kuwapelekapeleka wabunge wa vyama pinzani, lazima na wao wawe wababe pia, mtoto asiyependa kuonewa na anaishi na mama wa kambo mwenye roho mbaya, unafikiri huwa anakuwa mpole, anaweza hata akakuua,atakuwa mkorofi, mbishi n.k. na huwezi kumdanganya kuwa huyo mama ni mtu mzuri kirahisirahisi na wakati tayari yeye anamjua ushetani wake siku nyingi, kama mama wa kambo ni wa jamii ya CCM, hata wanawe kina CCM watapenda kuonyesha jeuri kwa mwenzao na si ajabu wawe hawawezi kupatana kabisha na huyo mtoto mwingine
 
hii ni kweli na kwasiaasa za nchi yetu tabia hii ibapatikana kwa chama kimoja tu ambacho hakikuzoea kusikia maneno yaliyo na hoja tofauti na mtazam wa chama chao labda tuulizane nn haswa kazi ya vyama vya siasa au demicrasia ktk nchi yetu hii
 
Back
Top Bottom