tafakari.

kajumula.

Member
Jun 29, 2012
34
0
Kwa mtazamo wangu, kwa kitendo kilichofanywa na kamati kuu ya chadema kuondoa kipengele cha kampeini katika uchaguzi ndani ya chama hicho, kikilenga kuondoa au kupunguza tatizo la rushwa hapa tanzania ni jambo jema na la kuigwa ndani ya africa hata nje ya africa. Je ccm nayo ianze??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom