Hukumu ya Prof. Costa Mahalu

Mpitagwa

JF-Expert Member
Feb 10, 2012
2,339
1,119
WanaJF, nimesoma kwenye gazeti la mwananchi leo kuwa humumu ya Prof. Mahulu ile ya jengo la ubalozi wa Italy ni leo. vipi kuna mwenye update?
 
ngoja niingie udaku ndo wanakuwaga na habari za hapo hapo, nitakurudia mkuu.

WanaJF, nimesoma kwenye gazeti la mwananchi leo kuwa humumu ya Prof. Mahulu ile ya jengo la ubalozi wa Italy ni leo. vipi kuna mwenye update?
 
Duh! Nina hofu itakuwa haina nguvu sana. Si nasikia shahidi wake wa kwanza alikuwa lile fisadi namba moja wa serikali ya awamu ya tatu!
Watakuwa wameshaifunika hii shutuma tayari!

Tungojee na tutasikia ilivyo!
 
[h=3]Update-Kesi Ya Profesa Mahalu Imeahirishwa[/h]

prof-mahalu-top.jpg

Hukumu ya Kesi inayomkabili aliyekuwa balozi wa Tanzania nchia Italia Profesa Costa Mahalu imeahirishwa mpaka tarehe 9 mwezi ujao

WanaJF, nimesoma kwenye gazeti la mwananchi leo kuwa humumu ya Prof. Mahulu ile ya jengo la ubalozi wa Italy ni leo. vipi kuna mwenye update?
 
Daah huu ndo upuuzi badala ya kuokoa gharama na kuangalia unyeti wa mambo wao wanakalia namna kuizika kesi hii kwa kurusha siku za kusikilizwa kesi m
 
Hukumu haikukidhi matakwa ya watawala na alisepa ili akirudi akute mtu amaeshakula mvua kitu imepigwa ajuaaaaaaaaaaaaah!
 
Back
Top Bottom