Slaa kuanzisha jeshi lake ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Slaa kuanzisha jeshi lake ?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by security guard, Jul 11, 2012.

 1. s

  security guard JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 258
  Trophy Points: 80
  Jeshi la Polisi ni jeshi linalolinda usalama wa raia na mali zake, na ieleweke kuwa dhamana waliopewa inatokana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

  Inapotokea raia mmoja anaona maisha yake yapo hatarini, jeshi linawajibu wa kukusanya taarifa muhimu ili kutekelea majukumu yake ya kuhakikisha usalama unadumishwa.

  Sasa Katibu Mkuu wa Chadema Wilbroad Slaa anapokataa kuhojiwa na jeshi la polisi kwa madai kuwa hana imani nalo, Ni muhimu kujitanabaisha dhahili jeshi gani ana imani nalo, Al-Shabab au Boko Haramu?

  Kwa kuwa ni kiongozi wa ngazi ya juu wa CHADEMA anayetaka kuongoza nchi, kitendo hicho kinachohamasisha hamasa ya umma kutotii sheria bila shuruti, umma hauoni umuhimu wa kutoka hadharani na kulaani????

  Nchi yetu ina utawala wa sheria (Rule of Law). Labda mnaofahamu kusoma sheria na kuifafanua tusaidiane kwa hili.
   
 2. mpiganaji jm

  mpiganaji jm Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo hana imani na jeshi hilo, mi naona haja kirupuka ametoa fact. wamjibu kwanza aliyo sema thn watamuhoji
   
 3. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Dr Slaa ana maanisha kuwa hakuna jeshi la Polisi la serikali, bali kuna jeshi la Polisi la CCM. Tunataka jeshi la polisi linalowajibika kwa serikali. Jeshi la polisi la serikali lingeshatoa ripoti ya kifaa alichowekewa Dr Slaa Dodoma- la ccm mpaka leo halijatoa ripoti yo yote.
  Jeshi la Polisi la serikali lingeshawakamata watesaji wa Ulimboka - la ccm mpaka sasa hamna kitu,
  Jeshi la Polisi la serikali lingeshakamata waliomtia tindikali kubenea na mwenzake.
  Waliopo ni Jeshi la polisi la m/kiti wa Taifa wa CCM Mh. Jakaya M. Kikwete - siyo la Serikal.
  DR Slaa hataki kuanzisha jeshi lake, anataka jeshi la polisi la serikali, lisilo na Chama cho chote- lisiloongozwa na ccm. Lililopo ni la ccm. Elewa mkuu.
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Mkuu wewe binafsi una imani na jeshi hlo especially kama kuna ishu inayohusu serikali na ccm!?
   
 5. B

  Blessing JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  :israel:SAWA KABISA tuko nyuma yako RAIS WETU WA ROHO - hiyo ni lazima kwa sababu sisi wananchi tumeshoka na JESHI na POLISI hili ya CHAMA CHA MAFIA. Kuliko tufe tuko tayari kuingia misituni kabisa bila kulipua chochote. MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI CHADEMA. SISI TUKO NA MUNGU na atuendi kwa Waganga kupata Cheo wala Madaraka. CHADEMA HOYEEEEE; SLAAAA BOMBAAAAA, MUNGU AWABARIKI WANA CHADEMA. Misitetereki kabisa Wala wasiwatishe Kamwe watapambana na MUNGU
   
 6. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Ni nini matumizi ya msitu wa Mabwepande? Nasikia huu msitu unamilikiwa na kulindwa na serikali, kulikoni? Naomba archeologist waende kuangalia kuna masalia ya wanyama kwenye msitu huo na ni kiasi chake!
   
 7. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Ingekuwa ni wewe Security Guard kila unaporipoti tatizo lako hakuna linalofanyika, utaendelea kutoa taarifa ili iweje? Naomba mwongozo.
   
 8. N

  NewOrder JF-Expert Member

  #8
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 489
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  Nadhani utagundua tofauti ya hoja yako na hoja ya Dr. Slaa. Wakati wewe unatoa mifano ya Al-Shabab na Boko Haram, yeye anakupa matukio ambayo Police iliwahi kuyashughulikia na mpaka sasa hayakupata majibu kwa sababu hayakuihusu CCM. Anataka uwajibikaji kwa Serikali na sio kwa CCM ili haki itendeke!!

  Tujijengee utamaduni wa kujibu hoja. Hata wewe moyoni kabisa unafahamu uonevu wa Police na jinsi walivyogeuza matatizo ya raia kuwa mitaji. Jinsi Traffic Police walivogeuza kazi zao kama chanzo cha fedha!! Jinsi maafisa upelelezi wanavoweza kusuka ushahidi hafifu ili adhabu kwa mkosaji isiwepo kabisa au iwe ndogo kulingana na kosa.

  Acha utani na mambo yanayohusu haki!!
   
 9. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #9
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,804
  Likes Received: 1,119
  Trophy Points: 280
  Bora angeweka wazi jeshi ambalo anataka limhoji ndipo angeeleweka, tatizo anajishitukia baada ya kutoa taarifa za kubuni.
  Tazama yuaja na mawingu na kila jicho litamuona, hata waliomchoma na kabila zote za watu wataomboleza.
   
 10. K

  Kalimanzira Senior Member

  #10
  Jul 11, 2012
  Joined: Aug 15, 2007
  Messages: 100
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Najua inawasumbua akili. Lakini itawachukua muda mrefu kung'amua anachowaambia Dr. Slaa. Uhuru wa fikra ndio utajiri mkuu anaopaswa kuwa nao binadamu. Security organs zetu 'zimenyimwa' uhuru huo, ndio maana haziwezi kuona wala kuelewa anachosema Dr. Slaa!
   
 11. k

  kimeloki JF-Expert Member

  #11
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 1,927
  Likes Received: 950
  Trophy Points: 280
  ana haki ya kukubali au kukataa kuhojiwa provided maelezo yake atatolea mahakamani.
   
 12. N

  Naytsory JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,590
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Huo ndio ukweli mkuu.
   
 13. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #13
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  wampeleke mahakamani ........ atatolea maelezo huko..ama???
   
 14. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #14
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Vyombo vyetu vya dola vimefunga ndoa na CCM na sio na raia.
   
 15. Acha Uvivu

  Acha Uvivu JF-Expert Member

  #15
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Maoni hayo hapo juu yanatosha kabisa kuwafumbua akili ninyi CCM, lasivyo mtakuwa na masikio lakini hamsikii, mna akili lakini hazifunguki, mna macho lakini hamuoni.
  Chama cha Mashetani, mnaua tu na kuzaa maneno mapya. Kukolimba, kukuulimboka, hiyo ndo legacy.
   
 16. k

  kimeloki JF-Expert Member

  #16
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 1,927
  Likes Received: 950
  Trophy Points: 280
  mkuu bakuza unaweza uctoe maelezo kwa polisi hasa kama huna imani nalo lakini dr kasema maelezo yake atatolea mahakamani.
   
 17. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #17
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,798
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  Jeshi la polisi halina nidhamu limejaa rushwa limejaa u ccm limejaa vilaza limejaa majambazi! majambazi wengi wanatumia silaha za polisi! nenda kituoni ukiwa na tatizo dogo tu uangalie wanavodai rushwa, nenda barabarani matrafiki wanavodai rushwa;mtu akiwekwa mahabusu humtoi bila rushwa! jeshi sasa limekuwa la wauaji rejea swala swala la ulimboka! rejea mauaji ya kombe! hii ni mifano midogo tu! Je nani mwenye akili timamu atakayeliamini jeshi la aina hii hakuna!!
   
 18. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #18
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kwani Dr. Slaa peke yake!!, hata mimi siliamini!!, Ilo jeshi linatambua na kuheshimu hiyo dhamana ambayo wanayo kutokana na katiba au we ndio unasema!. Kama hiyo ndio sheria basi ujue hatuna jeshi la polisi la kulinda raia!, tuna kitu kingine............
   
 19. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,804
  Likes Received: 1,119
  Trophy Points: 280
  Tatizo hautamuelewa Slaa pamoja na siasa kwa sasa maana akili yako bado imefungwa katika upofu wa fikra. Hivi unadhani kama Slaa akipata nchi hata leo hii, atawaacha maadui zake watambe mitaani huku wakimchafua jina? Unadhani yeye hataamlisha polisi kumghasi mtu wa namna hiyo? Hivi huoni hata kile anakifanya sasa ndani ya chama pale anapofanya ziara mikoani na wilayani? Achana na sihasa(siasa).
  Tazama yuaja na mawingu na kila jicho litamuona, na hao waliomchoma; na kabila zote za ulimwengu zitaombeleza kwa ajili yake, naam Amina.
   
 20. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #20
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mbona ameshawaeleza wampeleke mahakamani!!, si wafanye hivyo kama wanajiamini na kazi zao!.
   
Loading...