kanuni za bunge zinasemaje kuhusu kusimama bungeni?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kanuni za bunge zinasemaje kuhusu kusimama bungeni??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dubu, Jul 11, 2012.

 1. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,068
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Naomba wanaofahamu wanijuze. Mimi nimezoea kuona mtu anaomba mwongo au taarifa anawasha mic na kusema mwongozo wa spika au taarifa. Lakini kwa sasa naona kama mtu unatakiwa usimame hadi spika au mwenyekiti akuone ndo akupe nafasi ya kuongea.
  Mimi naomba kuuliza je mtu anatakiwa asimame kwa mda gani? na spika asipo kupa nafasi ya kuongea utafanyaje kama mbunge?. naomba kuelekezwa kwa wale wanaojua.
  Ni hayo tu
   
Loading...