Nchemba amshika pabaya Mnyika (leo bungeni) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchemba amshika pabaya Mnyika (leo bungeni)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by wakuziba, Jul 10, 2012.

 1. w

  wakuziba Senior Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  muda huu wa saa sita na dkk 50 mbunge wa iramba mh. Nchemba amemshika pabay mh. Mnyika bungeni. Nchemba baada ya kuchangia ktk wizara ya maji, amemkumbusha mwenyekiti wa bunge mama mhagama kuwa leo ndiyo siku ya saba na ya mwisho ambazo mnyika alipewa kuthibitisha kuwa nchemba anahusika na wizi wa EPA. Mwenyekiti amemuomba asizungumzie suala hilo kwa kuwa linashughulikiwa na ofisi ya spika.

  USHAURI WANGU KWA CHADEMA

  Katika kikao cha kamati kuu ya chadema kinachoendelea, wanachadema wakumbushane kulinda kauli zao bungeni. bunge ni pahala patakatifu! siyo kijiweni. vile nchemba amekumbushia leo, inaelekea anaamii kuwa hahusiki. alijiunga na B.O.T baada ya kashfa ya EPA. na alikua ofisa wa chini. inaelekea suala hili litamkalia pabaya mnyika! tuache kuropoka!  Wakatabahu: wakuziba (mzee wa ukweli unaochoma)
   
 2. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Mbona unatoa utetezi? Si ungeshauri Kikao cha Kamati Kuu cha CDM kikumbushane kutafuta ushahidi dhidi ya Nchemba na si vinginevyo? Namshauri Mnyika aje humu na aombe mwenye ushahidi ammwagie...hatakosa hakika!
   
 3. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,381
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  Ofisi ya Bunge iko busy sana, nitashangaa kama ushahidi wa Mnyika utachukuliwa so serious.

  Lema aliombwa apeleke ushahidi kuwa "Liwalo na Liwe" alisema uongo na kulidanganya taifa, ushahidi ulipelekwa na haukuzungumzwa mpaka Lema akaondolewa bungeni.

  Zitto naye aliombwa apeleke ushahidi kuwa baraza la mawaziri lilirubuniwa, ushahidi ukapelekwa lakini hakuna chochote kilichofanyika mpaka sasa.

  Sasa Nchemba atulie tu, hiyo ndiyo siasa ya bongo.
   
 4. TODO

  TODO JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  fikilia oposite tena kama mnyika akidhibitisha itakuwaje? be a great thinker bana
   
 5. a

  andrews JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Siasa umeanza jana?
  1.majina 11 ya mafisadi akiwemo rais wenu mbona hawajawashitaki chadema?

  2.waziri mkuu pinda kutoa kauli za uongo mbona lema hakufukuzwa bungeni kama lingekuwa la kuzusha.

  3.mafisadi wenu wa ccm lowas,rostam,chenge kuwapa siku 90 mbona sasa ni 6 months.

  Ukishajua siasa lete hoja ccm tumewazoea kwa kukanusha sasa miaka hii kabla ya 2015 mtahaha sana msiwe na haraka ngoja mpate makina ya maofisa wa usalama wa taifa wanotaka kuua viongozi wa chadema ndio mlete hoja poleni kwa machungu
   
 6. Jaffary

  Jaffary JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 758
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Mbona sijaona aliposhikwa pabaya?? Au kushikwa pabaya ndio nini hicho, nonsense!
   
 7. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  up*******
   
 8. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  ushahidi upo tena wa nguvu sana...uruhusiwe kusomwa bungeni uone kma patakalika!!! utafichwa kama kawaida ya magamba
   
 9. G

  Ginner JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Chadema si chama makini kama wengi wetu tulivokuwa tukidhani hapo awali......
   
 10. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45

  Kushikwa pabaya ni kushikwa sehemu ambayo aliyeshikwa hapendi kushikwa paka hapo.
   
 11. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  JItu Patel pamoja na Manji walikuwa wanafanya kazi BOT mpaka wakahusishwa au walikuwa na vyeo gani?
   
 12. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #12
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mbona hukuweka alichoambiwa na mwenyekiti, au unafikiri umesikiliza peke yako?Kweli umeziba
   
 13. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #13
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Kuna mmoja aliuweka hapa ...hahahah anasema
  kagoda ni CCM na Nchemba ni mmweka hazina wa CCM..
   
 14. Imany John

  Imany John Verified User

  #14
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,776
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Lema aliwasilisha je walikubali isomwe?

  Hata mnyika akileta haitasomwa. Mbwa kala mbwa system ni wahuni.
   
 15. F

  FJM JF-Expert Member

  #15
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Sijui kwanini watu wahajiulizi ilikuwaje huyu 'rookie' akapewa cheo cha Treasurer wa chama? Kumbuka hii nafasi iliwahi kushikiliwa na RA!
   
 16. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #16
  Jul 10, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Hewalaa...Ingekuwa vema kama mpambanaji mnyika angeweza kumuomba mama spika wajadili kwanza ule ushahidi wa "liwalo na liwe" kulidanganya bunge. Ili hatua madhubuti zichukuliwe dhidi ya waziri mkuu kwanza kwa kosa hili halafu tuendelee.

  Nina imani kubwa sana na Mbunge wangu mheshimiwa mnyika...ushahidi wa kuhusika kwa nchemba kwa njia moja ama nyingine kwenye wizi wa EPA upo.subirini.
   
 17. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #17
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Hivi Nape huwa anawaokota wapi mazezeta kama ninyi?Soma hapo kwenye rangi nyekundu halafu kama zinakutosha jaribu kulinganisha na kichwa cha thread yako utumbo!
   
 18. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #18
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Tumesikia.
   
 19. BIG Banned

  BIG Banned JF-Expert Member

  #19
  Jul 10, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 263
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ngoja wakati ufike!, Aache hizo nguvu za soda!, kuhusika amehusika.
   
 20. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #20
  Jul 10, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Vipi na ule Ushahidi wa Kafulila kuhusu akina Zambi na wenzake kuomba rushwa, utasomwa lini?
   
Loading...