katibu chama cha walemavu Taifa kujiunga CHAUMMA

CHAUMMA

Member
Jul 5, 2012
14
3
Tunayo furaha kupokea ombi la katibu mkuu chama cha wenye ulemavu Tanzania mhe masamaki kuomba kujiunga na Chama Cha Ukombozi wa Umma-CHAUMMA. Alipoulizwa kwann amependa kuchukua uamuzi huo amesema ni falsafa ya UTU NA USAWA iliyojikitika katika misingi ya CHAUMMA. Hizi ndizo taarifa rasmi kutoka makao makuu CHAUMMA.
 
Tunaendelea kuwakaribisha wote mnaomini kuwa bado taifa linahitaji ukombozi.
 
MNAGAWA CHAKULA? kama mnagawa semeni..maana huku chadema hatupewi kitu na chama linasonga kwelikweli..kibaya chajitembeza.
 
Back
Top Bottom