Mh: Mwakiyembe tupatie ripoti ya uchunguzi ya kupewa sumu.

Same ORG

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
321
21
Mh: tokea ulipoteuliwa uwaziri kamili hujaongea tena suala lako binafsi la kupewa sumu,kwetu sis wananchi tupo njia panda.
 
keshaukwaa uwaziri ripoti ya nini...sasa ni zamu ya kutafuna mema ya nchi kwenye hii nchi inayotiririka maziwa na asali
 
Mh: tokea ulipoteuliwa uwaziri kamili hujaongea tena suala lako binafsi la kupewa sumu,kwetu sis wananchi tupo njia panda.

This guy is not to be trusted any more! Ati mpambanaji! Huyu hana uzalendo kwa nafsi yake, walitaka kumuua kaponea chupuchupu, report ya yaliyo mkuta akapewa, kuhongwa uwaziri tu akasahau yote. Je uzalendo kwa nchi yake atakuwa nao?
 
Back
Top Bottom