Thaanks JF People Tumeshinda Na Mbarikiwe!!

Status
Not open for further replies.
Big time ndiyo nini le mutuzi? Mimi sijui chochote kuhusu hiyo kitu.

Japokuwa sijui lakini nachelea kusema hongera kwa ushindi.
 
Hamna ki2 hapo toka ubunge EALA mpaka ujumbe wa kata..shame ön u,u have political ambition..sijui itakusaidia nini.bora uombe kazi ktk nyambizi ya polisi hapo kivukoni kuliko cheo ulichopata
 
Mmeshinda kumteka na kumtesa Ulimboka. Otherwise huna jipya
 
Ulidai huna mpango tena na JF, nini kimekurudisha Big Show! Ok karibu tena mwana
 
W. J. Malecela Ni Kiasi gani umetumia kwenye huo uchaguzi? Nasikia Magamba kama huna bulungutu la kugawa hupati cheo.

Le Mutuz Biig Shoow!! The future Fisadi :hat:
 
hii lugha unayotumia humu ndio unayoombea kura yaani.??? kama mwomba kura analugha ya kihuni hivi sipati picha wapiga kura wake wanaongea lugha gani.!
 
Awe ameshinda kuua au kashinda kupora mali ya watu au kashinda kukwepa mtego wa wana usalama wa Taifa, we mpe hongera tu. Siku ya 40 ikifika si tutamwona akishinda kutoishi?
 
hivi wanakuchukia kwa kuwa una tamaa ya uongozi au kwa kuwa wana wivu na maendeleo yako?
Naona wanao kunanga wapo wengi mno humu JF.
Ila mshikaji kupigania uongozi ktk kata ilhali ulikuwa umepambana ktk ngazi ya EA huoni kama ni humiliation? Au ndo bora uongozi?
Ila punguza uhuni.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom