Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Jul 4, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Kiongozi wa upinzani nchini na Katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa amelaani vikali kushambuliwa na kuteswa kiongozi wa madaktari nchini Dr Ulimboka Stephen.

  Kiongozi huyo amesema hakuna njia zaidi ya kuunda tume huru kuchunguza tukio zima la utekaji kwani Mtuhumiwa namba moja ni serikali na kamwe haiwezi kujichunguza yenyewe. Dr. Slaa amesema vinginevyo matokeo ya tume hiyo ya serikali ambayo si huru hayatatambuliwa wala kukubaliwa na wananchi.

  Dr Slaa amesema anashangaa kusikia serikali haina fedha za kuwaongezea madaktari huku katika bajeti ya mwaka huu ikitenga shilingi bilioni 15 kwa ajili ya chai tu.


  Source: Mwanahalisi
   
 2. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Karibu rais wangu nilikuwa nasubilia kauli yako
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hakika haya maneno mazito sana.Tuyatafakari
   
 4. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Chai ya Ikulu Billion15?
   
 5. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,802
  Likes Received: 1,049
  Trophy Points: 280
  serikali si ya kuchunguzwachunguzwa - by s. malechela ex pm
   
 6. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Sijui wanatumia siagi ya Dhahabu?

  We acha yaani.

   
 7. m

  majebere JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  halafu bado mnakataa kuwa Chadema wako nyuma ya huu mgomo.
   
 8. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Hebu tutamke vizuri biliooooooooooooooooooni 15?du wakati raia mlo mmja shida duama kweli aliyejuu msubirie chini
   
 9. t

  tocolyitics Member

  #9
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bora wananchi wafe kuliko kupunguza au kukosa chai. LIWALO NA LIWE.
   
 10. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #10
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Ndiyo tunakataa maana ukweli uko wazi
   
 11. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #11
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,728
  Likes Received: 12,804
  Trophy Points: 280
  Jk kwa chai!
   
 12. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #12
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,728
  Likes Received: 12,804
  Trophy Points: 280
  Jk kwa chai na safari utamtaka!
   
 13. E

  EMMANUEL NSAMBI JF-Expert Member

  #13
  Jul 4, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Chai bilion 15?Hapo ndipo panapoongeza hasira kwa madaktari.Wao wanahangaika
  kuponya watu wengine wanakaa ofisin wakinywa chai.Kama ni lazima wanywe chai
  wachukue toka majumbani kwao.
   
 14. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #14
  Jul 4, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  "Chai ya Ikulu bil. 15! Mwacheni RiziOne ajenge Ma-Mansion na kununua Hotel nyingine Tanga.
   
 15. m

  majebere JF-Expert Member

  #15
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Nyie mnajua huyo Slaa alipiga vikombe vingapi alipoenda ikulu? Na akaomba na biskuti ya kuchovea.
   
 16. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #16
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  du yani kwa siku chai Milion 4 hahhaha
  take 15 Billion / 360
  insane
   
 17. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Stupidity is repeating same thing over and again, but expecting different results! We have already heard this 'hot air'!
   
 18. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #18
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,275
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  ccm ni janga
   
 19. olele

  olele JF-Expert Member

  #19
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 814
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 80
  imeshindwa kuchunguza ya mwakyembe ambye ni MBUNGE, mwanachama wa CCM na sasa WAZIRI, haijatoa majibu mpaka leo nini kilichotokea, mnatarajia serikali iwape majibu kuhusu dk ulimboka. give me a break!
   
 20. controler

  controler JF-Expert Member

  #20
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 1,537
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo kwa kuwa una ushahidi kuwa Chadema wako nyuma ya Mgomo ni kwa nini Mkaenda Kumpiga DR Ulimboka na Kumngoa Kucha Na meno?
   
Loading...