PICHA; Jinsi Shigella & T. Hiza 'Walivyoiteka' Mtwara! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA; Jinsi Shigella & T. Hiza 'Walivyoiteka' Mtwara!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiganyi, Jul 7, 2012.

 1. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Katibu Mkuu UVCCM ,Mh.Shigela Martin akihutubia wananchi wa Mtwara
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Tambwe Hiza wa CCM Makao Makuu akihutubia wananchi masuala muhimu ya kujenga nchi na yenye kuleta maendeleo kwa Taifa[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  Katibu mkuu wa umoja wa vijana wa CCM Martin Shigela amewataka wananchi wa mkoa wa Mtwara kujitokeza kwa wingi kutoa maoni yao wakati Tume ya kuratibu maoni ya katiba mpya itakapofika mkoani humo kukusanya maoni ya wananchi,amesema CCM haina agenda yoyote iliyojificha katika upatikanaji wa katiba mpya itakayotokana na utashi wa wananchi wenyewe ,alitilia mkazo kwa wananchi kutoa maoni yao kwa amani bila kuingilia uhuru wa wengine,aliwaasa kuangalia mambo ya muhimu ambayo wanaona yatasaidia kuiweka nchi katika amani na kuendelea kutoa fursa ya maendeleo kwa wananchi kama ilivyo sasa,kuhusu mgombea binafsi alisema CCM haipingi kama wapinzani wanavyotangaza na kama wananchi wanalitaka hilo katika kukuza demokrasia nchini waliseme na litatekelezwa bila wasi wasi na kwamba CCM ndiyo itafaidika zaidi kwa kuwa wanachama wake hawataenda upinzani kutafuta nafasi za kugombea kama ilivyo sasa ambapo wanakwenda huko huku wakiamini vyama hivyo havina sera yoyote ya maendeleo ya Taifa zaidi ya kutaka utawala,alielezea fursa mbali mbali za mkoa huo zilizoletwa na serikali ya CCM na zitakazoendelea kuletwa katika kipindi kifupi kijacho,kabla ya hapo mjumbe aliefuatana naye katika msafara wake Tambwe Hiza alizungumzia hali ya nchi iloivyokwenda mbele kimaendeleo tangu tulipopata uhuru ikiwa nin pamoja na uanzishaji wa shule nyingi za msingi karibu na maeneo wanayoishi wananchi kinyume na hali ilivyokuwa kabla ya kujitawala na miaka ya mwanzo ya uhuru ambapo kila Tarafa ilikuwa na shule moja ya msingi jambo lililopelekea watoto kutembea umbali mkubwa kwenda shule,aliwabeza wanaodai miaka 50 kuwa hakijafanyika kitu kwa kutoa mifano ya ya vyuo vikuu vilivyoanzishwa baada ya uhuru ambavyo havikuwepo kabla idadi ya wanafunzi wanaoingia sekondari hivi sasa akitolea mfano wa idadi ya watoto 5 kati ya watoto 100 waliofaulu waliokuwa wakienda sekondari wakati wa serikali ya awamu ya kwanza kwa kuwa wakoloni hawakujenga za kutosha,wanafunzi waliongezeka kufikia 13 wakati wa awamu ya pili,21 awamu ya tatu na awamu hii ya Rais Kikwete imefikisha 97 kati ya mia huku baadhi ya mikoa ikifikia 100/100
   
 2. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kama mtwara mjini wahuzuriaji hawajafika 200 pamoja na promo ya kutosha.Je wakienda mtama au nanyumbu itakuwaje?kwishney
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  halafu wengi wanaonekana kama wamevunjika moyo
   
 4. d

  dguyana JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiki chama kishaanza kuwa na tabia za chama cha upinzani.
   
 5. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kama watu wapo kijiweni vile ni mkutano wenye huo
   
 6. N

  Ndyali JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,222
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Mpaka sasa Ccm wamekata tamaa, wao wanategemea policeccm na usalamaccm. Wananchi walisha wasanukila.
   
 7. 2mbaku

  2mbaku JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 317
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  DuuuuuuH!!! Umati huoooo!!! Makubwa haya. Macho au vidonda.
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Uliposema kuiteka nilitegemea umati mkubwa wa watu!
  Mbona waliopo apo ni idadi ndogo sana na wengi ni wanachama wao!
  So ni lazima watakuwa wamekusanywa toka maeneo mbalimbali na kuletwa eneo la tukio na POSHO JUU!
   
 9. u

  uwemba1 JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 755
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 60
  Kama hapo ndio wameteka hiyo miti ya muarobaini au kanga zilikuwa haba?
   
 10. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #10
  Jul 7, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...dah! huo mfuko(Tambwe Hiza)bado upo?...
   
 11. k

  karim wade Member

  #11
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aha magamba kushne,kajiumati na hapo ni baada ya kusomba watu kwa malori na tshirt juu. Hivi hamna ma think tank wakawasaidia kubudi njia mbadala.
   
 12. k

  kakini Senior Member

  #12
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 197
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wanachama wa nyinyiem bwana yani wanaonekana kama mazombie vile yani wanafata upepo tuuuuu
   
 13. KML

  KML JF-Expert Member

  #13
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  aisee watu wengi sana hawa zaidi ya watu milion moja kweli ccm wameteka
   
 14. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #14
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Wameteka miti ya miarubaini au??
   
 15. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #15
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Nitaitumia elimu yangu katika kuijenga nchi mpya ya Mtwara (Mtwara Republics)

  CCM na CDM wote mbaafuuu

  Tunaanzisha CCM Mtwara, Just wait!!!

  @PJN at Mtwara Gas City
   
 16. k

  kanganyoro Senior Member

  #16
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kazi kwenu ccm.
   
 17. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #17
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Wabunge wenu wooote tunawatoa!!!
  Hawa Ghasia, Mkuchika, Njwayo, Mkapa, Hokororo wa Masasi....... Woooote ni vichwa maji!!!!!

  Vijana tunaandaa utaratibu wa hiyari wa kuwafukuza!!!!!


  @PJN at Mtwara Gas City
   
 18. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #18
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,686
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Ahaaahh! Hapa ccm ndo walitekwa.
   
 19. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #19
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mbonaZomba.Ritz.Rejao.Njiwa na pro CCM wengine hawatii neno hapa au wapo sabasaba kusheherekea sikukuuu.?
   
 20. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #20
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  wapo kule kwenye uzi wa birthday ya mwigulu na ule wa chadema dhaifu wanajivinjar....
   
Loading...