Nani aliagiza dr. Ulimboka ateswe?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Kuhusuala la Dr. Ulimboka wana JF changanueni habari hii. Suala la kutenguliwa Ubunge wa Lema wa Arusha Mjini kiutata umefanywa na Jaji mfawidhi wa Mkoa wa Rukwa na mhusika mkuu wa utekaji na kupigwa vibaya kwa Dr.Ulimboka inasemekana anatoka Ofisi ya Waziri Mkuu. Hapa tunapata picha gani? Tutafakari na tuchukue haTUA.
 
"liwalo na liwe"....issue ilianzia hapo!
mheshimiwa itakua aliwaita TISS akawaambia hebu tatueni hili tatizo, mbona hawa wanakirburi sana! nani anawapaujasiri huu!!!..sasa wakubwa wa TISS wakakurupuka kwenda kwa vijana wao wakawaida, wasiokua na uwezo kufikiria kwa upana...walipopewa maagizo wakatatue tatizo basi wao wakaenda kufanya kwa kutumia mazoea!!! kumbe wanaharibu bila kujua!!!
...

Stop confusing the mases you guys ... East or West your days are definitely numbered!!!!
 
I can't agree more. It is a shame when JK and Pinda denies their involvement when it is clear that they gave an implied order to silence Dr Ulimboka.
 
Stop confusing the mases you guys ... East or West your days are definitely numbered!!!!

Wewe ni kuwadi wa wauaji sio nawe watakua wakigundua manufaa kwao yamepungua. Ujue pia kuwa wauaji hao hawako juu ya Mungu sasa je wanamuonba Mungu wawaue wapinzaji wao kimawazo?Tafakari.
 
Haya mmeshamjua na Madaktari wamerudi kazini na viherehere wapatao 200 watashtakiwa kwa hiyo mnachotaka ni nini? Mumkamate mtesaji au muache migomo ya kura kwa nini msisubiri 2015 ili muone Ballot Box zitavyojibu hivi ugumu wa kutawala mnaujua ni Nchi gani haita Kitengo cha Usalama?
 
Sorry am nt in the group your placing me!! Never ever!!!
Pole!! Seems you didn't get ma message ... read with mind and consciousness!!
 
Kuhusuala la Dr. Ulimboka wana JF changanueni habari hii. Suala la kutenguliwa Ubunge wa Lema wa Arusha Mjini kiutata umefanywa na Jaji mfawidhi wa Mkoa wa Rukwa na mhusika mkuu wa utekaji na kupigwa vibaya kwa Dr.Ulimboka inasemekana anatoka Ofisi ya Waziri Mkuu. Hapa tunapata picha gani? Tutafakari na tuchukue haTUA.

Unajua wakati PM anatoa ile kauli ya Liwalo na Liwe ile asubuhi alikuwa anadhani watekaji walikuwa wametekeleza maagizo. Hakujua kuwa Dr. Uli roho bado inadunda.
 
Haya mmeshamjua na Madaktari wamerudi kazini na viherehere wapatao 200 watashtakiwa kwa hiyo mnachotaka ni nini? Mumkamate mtesaji au muache migomo ya kura kwa nini msisubiri 2015 ili muone Ballot Box zitavyojibu hivi ugumu wa kutawala mnaujua ni Nchi gani haita Kitengo cha Usalama?

Madaktari wamerudi kazini lini kijana?eeh?
 
Kwanini mnaumiza vichwa kutaka kujua nani aliagiza Dr. Uli auwawe? Hivi mnahitaji bingwa wa Kiswahili yule Nahodha awafafanulie ile kauli ya Pinda kuwa LIWALO NA LIWE ilimaanisha nini? Wakuu GT mnajidhalilisha.
 
Haya mmeshamjua na Madaktari wamerudi kazini na viherehere wapatao 200 watashtakiwa kwa hiyo mnachotaka ni nini? Mumkamate mtesaji au muache migomo ya kura kwa nini msisubiri 2015 ili muone Ballot Box zitavyojibu hivi ugumu wa kutawala mnaujua ni Nchi gani haita Kitengo cha Usalama?

Bora ungekuwa ubuyu
 
labda madaktari type ya Maji marefu
 
Kwanini mnaumiza vichwa kutaka kujua nani aliagiza Dr. Uli auwawe? Hivi mnahitaji bingwa wa Kiswahili yule Nahodha awafafanulie ile kauli ya Pinda kuwa LIWALO NA LIWE ilimaanisha nini? Wakuu GT mnajidhalilisha.
nakubaliana na wewe %tririon mia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom