Baada ya serikali ya CCM kushindwa kuihusisha CDM na mgomo wa madaktari, mbinu ipi ingine itumie?

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Serikali ya CCM iko katika mtafaruku mkubwa. Kutokana na wimbi kubwa la kukataliwa hapa nchini hasa kuanzia kwenye mashina huku maelfu wakikimbilia CDM, serikali ilitegemea kulizuia wimbi hilo kwa kuihusisha CDM na mgomo wa madaktari na pia kupigwa kwa Dr ulimboka. Walitegemea sympathy kutoka kwa wananchi na ndiyo maana lile suala la kuonyesha wagonjwa wakifa au kuteseka walilivalia njuga sana.

Sasa azma hiyo ya CDM imekula kwao sijui wataleta nini kingine. Maana CCM imekuwa muflisi wa hoja na imeamua kutumia njia zisizo za kikawaida.
 
Ukeli utabainika tu!
 
Sasa hivi wamebakia kusema DJ tu lakini wamesahau viongozi wengi wa ccm wanamiliki kumbi za starehe lakini tunauchuna
 
Mbinu za nini wakati CDM imekosa mwelekeo? M4C amekabidhiwa kichaa. Anahutudia wakati hata watu hamna.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom