Katiba mpya na fiksi za wakuu wa Wilaya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba mpya na fiksi za wakuu wa Wilaya.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by saita, Jul 11, 2012.

 1. s

  saita Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha kusikia tayari wakuu wa wilaya ambao ni mkada wa chama cha mapinduzi tayari wameshaanza kuichakachua mpango wa ukusanyaji wa maombi ya katiba mpya.

  Wanawapanga watu wa kuongea na vitu vya kusema huku wakiwaelekeza wenyeviti wa kata kuwapointi kila wanaponyosha vidole na kuwaacha wengine wenye mawazo huru.

  Je? kwa mpango huu wa four- four two ya ssm tutapata katiba mpya itakayotokana na mawazo huru?
   
 2. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
 3. t

  tara Senior Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  itabidi tutumie 4-3-3 kukabiliana nao then.....
   
Loading...