Ni aibu kwa Mbunge wako kuunga mkono hoja 100% kisha anaanza kuiomba na kuikosoa serikali kwa
kutoa mapovu mengi maana yake nini? Mbunge kama huyo uwezo wake ni mdogo, amehongwa, anaijali...
Mama Karume anaheshimika sana si tu kwa umri wako, bali hata kwa kuwa mke wa Mzee wetu, Mzee Abeid Amani Karume,mmoja wa waasisi wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Nimesoma leo magazeti kadhaa...
Ndugu wanaJF, ofisini ninapofanya kazi akitokea mbunge kutoka kambi ya ushindani kuchangia hoja bungeni wafanyakazi wanasogea karibu na screen ya TV na anapotokea wa CCM wanarudi kwenye viti vyao...
Mashabikiwa CHADEMA, kama mnakusudia kuchukua nchi hii 2015, basi muanze kuonyesha busara na hekina ya jinsi mnavyoweza kuwazidi wapinzani wenu wakuu kwa hoja na uafahamu wa mambo na mbinu za...
From Mwanahalisi:
Katika sakatala Richmond, Kikwete alishauriwa na hatimaye akakubali kuundwa kwa Kamati Teule ya Bunge. Kikwete hakujua mkenge aliokuwa anauingia. Alipotoshwa na washauri wake...
Ndugu WanaJF,
Kwa muda sasa nimeweza kuona kwamba kuna mambo ambayo serikali ya CCM imekuwa inayafanya ambayo yanaweza kuhatarisha amani ya nchi hii. Mambo hayo ni haya yafuatayo:
Moja. Kudhibiti...
Viongozi waandamizi wa Serikali wakimemo Wakuu wa Wilaya na Maofisa Elimu wa Wilaya katika mikoa kadhaa nchini, wametapeliwa mamilioni ya fedha na kikundi cha watu wanaotumia jina la Naibu...
Kutokana na unafiki,uongo,kejeli na jaziba za wanaCHADEMA ,wabunge na wafuasi wao katika wiki iliyopita imedhihirisha hawana uwezo wa kuongoza nchi hii yenye kila aina ya changamoto.Nitafafanua...
Habari za jioni wana JR!
hapa nataka kuzungumzia kidogo bajeti ya 20012/2013 na marekebisho ya kodi ya magari!
yako hivi
a) hakuna excemption kwa wafanyakazi wa serikali,
b) Magari ya mashirika...
Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Sabrina Sungura amewalipua viongozi Waandamizi wa CCM...Mwigulu Nchemba (Mb) na Wilson Mukama. Nchemba ametajwa kwamba kila kampeni za uchaguzi mdogo alizosimamia...
Jioni hii live tbc waziri tibajuka anena kiprofesa.
Maneno ya nguvu kuwa
"hakuja nyumbani kutoka un ili aje kupambana na maskini bali kaja kupambana na umaskini"
Kikao cha madiwani wa ccm kilichokaa jana kimempitisha Mh lota laizer Diwani wa Kata ya Baraa kuwa mgombea wa kiti cha naibu meya,awali walikuwa madiwani wa Moshono mh Paul matsen na mh Ole...
Tuesday, July 17, 2012
Picha za Watu Sita Waliopandishwa Kizimbani Mjini Singida,Kujibu Shitaka la Mauaji ya Mwenyekiti UV-CCM Kata ya Ndago Wilaya Iramba,Yohana Mpinga na Afisa Sera na Utafiti...
Hi ma GT,
Nimejaribua kufatilia majina ya watu wanaopata viwanja vya kupimwa wengi wanaopata wanakua ni viongozi wa CCM au watu wanaonuafahika na CCM,sample niliyokuja nayo ni ya Gezaulole 1800...
hiki kibonzo kimenifurahisha sana,kinaoyesha jinsi gani wabunge wengi wa chama tawala walivyo wanafiki wachangiapo mijadala ya bajeti bungeni...
SOURCE:katuni majira.
Haya ndo matokeo ya kuhodhi kila nafasi ya kazi ipitie tume ya ajira utumishi. Ni kuanzia mhudumu hadi profesa!
Hivi karibuni baada ya utumishi kutangaza nafasi za kazi za aina hii, wengi...
Siyo niya yangu kurudisha mjadala uliowahi kuchemka kwa nguvu hapa JF. Najaribu kuonyesha kumbukumbu tuliyonayo.
Najiuliza jinsi siasa inavyo vuka mipaka yote ya sheria na utu hapa Tz. Ni wiki...